Search results

  1. kama kazz

    Rais Magufuli aliambia Jeshi la Polisi kuwa, kuna maswali mengi kuhusu sakata la kutekwa Mohammed Dewji

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amesema kuwa, suala la kutekwa nyara kwa mfanyabiashara mashuhuri wa nchi hiyo na Afrika, Mohammed Dewji mashuhuri kwa jina ‘Mo’ limeacha maswali mengi kwa wananchi ambayo yanahitaji majibu hivyo jeshi la polisi liwaeleze Watanzania kwani si wajinga sana...
  2. kama kazz

    Tunayoyafahamu kuhusu washukiwa waliokamatwa Kenya baada ya shambulio katika hoteli

    Washambuliaji wawili walinaswa na camera za CCTV wakiingia kwenye jengo la hoteli Watu tisa wametiwa mbaroni kuhusiana na shambulio dhidi ya hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya ambapo watu 21 waliuawa. Washambuliaji wote watano waliyovamia hoteli ya DusitD2 na majengo yaliyokuwa karibu na...
  3. kama kazz

    Waundaji wa sanamu ya Sabrina washtakiwa na hekalu la shetani

    Mwazilishi wa Hekalu la shetani Lucien Greaves anasea kuwa ishara ya kundi hilo inatumika vibaya. Kundi la wanaharakati wa hekalu la shetani linawashtaki watengenezaji wa kipindi cha msururu cha runinga -The Chilling Adventures of Sabrina kwa gharama ya $50 million (£38m) kutokana na sanamu...
  4. kama kazz

    Utaratibu mpya wa kutoa viza za Tanzania walalamikiwa

    Tanzania imeingia lawamani kwa hatua yake ya kubadili utaratibu wa utoaji wa viza kwa baadhi ya nchi ikiwemo Nigeria. Hivi karibuni, serikali ya Tanzania kupitia idara yake ya Uhamiaji ilitoa muongozo wa kubadili kutolewa kwa vibali vya kuingia nchini humo yaani viza. Baadhi ya raia wa nchi...
  5. kama kazz

    Mnyika: Rais Magufuli asingeishia tuu kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB

    John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba 27/6/2017 "Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB" Rejea Miaka ya nyuma akitaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa.
  6. kama kazz

    "Rais Asiishie Kuwaaga Waliokuwa Wafanyakazi PDB"

    John John Mnyika Naibu Katibu Mkuu Bara Mbunge wa Jimbo la Kibamba 27/6/2017 *"Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"* Rejea Miaka ya nyuma akitaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi...
  7. kama kazz

    Galaxy Tab3 ipo sokoni

    Samsung Galaxy Tab3-T211 Used kwenye Ubora Wk 750,000•
  8. kama kazz

    I phone 6 Mpya Kabisaa

    Bei Tanzania Shillingi 950,000/=
  9. kama kazz

    OLYMPUS Digital Voice Recorder #

    Nitafute humu bei poah sana
  10. kama kazz

    iPhone 5c Gb 32 kwa bei Cheee

    #Haya sasa Apple hilo hapo limetulia Iphone#5c Gb 32
  11. kama kazz

    Mizigo mpya hii hapa Kwa wapenda simu.

    Hizo hapo sasa note5 # kila moja ni mpyaaa pesa rahisi kuliko
  12. kama kazz

    IPhone 5s ipo sokoni.

    Mzigo mpya upo Na vitu vyake vyote# 5s 16Gb Kwa 650,000/= tu kuna kanjaa
Back
Top Bottom