Search results

  1. I

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    Utakuwa hujakosea mkuu. Ndivyo ilivyo!
  2. I

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    Kuna jambo sikulitaja kwny uzi wangu. Wakati gas processing plant ya Madimba inajengwa pamoja na bomba la kusafirishia gesi kuja Kinyerezi, mradi huu ulienda sambamba na ujenzi wa processing plant nyingine kule Songo Songo. Gesi inayochakatwa na mtambo wa serikali wa Songo Songo inasafirishwa...
  3. I

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    Ninachokiona kwny huu mjadala ni kukosa taarifa sahihi na kukosa maarifa ya kupata taarifa sahihi. Ni hivi, kuna gas reserves katika makundi matatu. Kundi la kwanza ni gesi iliyogunduliwa miaka ya 1970s/80s kwny kisiwa cha Songo Songo kilichopo Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Songo Songo haipo...
  4. I

    Public Opinion: Je, Rais Magufuli amfute kazi Mkurugenzi wa EWURA?

    Tanesco ilipeleka maombi ya kupandisha tozo la Umeme Ewura. Hii ni kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha Ewura. Baada ya kupokea maombi Ewura hufanya public inquiry ambapo hukusanya maoni kutoka kwa wananchi na makundi ya kitaasisi kama vile CTI, TPSF, Mawizara, nk. Hats hivyo Ewura ipo kwa ajili...
  5. I

    TANESCO hawana hoja ya msingi ya kupandisha umeme!

    Jana tarehe 23 Nov. 2016 ilikuwa ni zamu ya kukusanya maoni kanda ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulifanyika Ewura makao makuu. Binafsi nilihudhuria. Kwanza, nilitarajia kuona mania ya watu waliokuja kutoa maoni yao juu ya pendekezo la Tanesco kupandisha being ya umeme. Kimsingi nilishtushwa sana...
  6. I

    Niliwahi kusema hapa CRDB ni jipu, sasa Waziri Mkuu amtuma CAG kuichunguza!

    Ndugu sio kila elimu lazima ufundishwe darasani. Kampuni kama imeuza hisa kwa general public hao ndio wamiliki wa kampuni husika. Sasa serikali inawajibu wa kusimamia maslahi ya wananchi wake regardless ni taasisi ya umma ama la. Labda nitolee mfano mzuri zaidi wa mifuko ya hifadhi ya jamii kama...
  7. I

    Niliwahi kusema hapa CRDB ni jipu, sasa Waziri Mkuu amtuma CAG kuichunguza!

    Ha Hahahaha kama pia nilivyokua najua kuwa NSSF ya Dr Ramadhan Dau
  8. I

    Niliwahi kusema hapa CRDB ni jipu, sasa Waziri Mkuu amtuma CAG kuichunguza!

    Sidhani kama PM kakurupuka. Ifahamike kuwa malipo yote ya TPA yalikua yakifanyika kupitia CRDB. Na, kumekua na allegations za collusion kati TPA na CRDB ambapo walikua wanaiba kupitia mfumo huo wa malipo. CAG ameagizwa kufuatilia ili kujua kama CRDB imekua ikiwezesha wizi huo. Sasa kukurupuka...
  9. I

    Eti kazi ya upelelezi ni elimu ya darasani au na uchawi upo?

    Upelelezi kwa nchi zetu hizi bado sana. Labda kwa wenzetu waliowekeza kwenye technologia ambapo hata mtu akijilipua (kujitoa muhanga) wanaweza kujua ni nani (DNA). Huku kwetu DNA ni kwa ajili ya kuhakiki watoto wa wake zetu. Mfano, yule mshukiwa wa ugaidi Paris, Ufaransa, aliyekamatwa Ijumaa...
  10. I

    Nachukia watu wanaowalaumu kila kitu Wazungu

    Halafu utashangaa ni msomi wa chuo kikuu ndo anakuwa na uelewa/analytical capacity ndogo namna hiyo tena kwny chombo cha habari kamaTV!
  11. I

    Kesho alhamisi tar 24/3/2016 kutakua na mapumziko na huku bara?

    Hahahaha wameshamtumia kama TP sasa ajiandae kujilinda mwenyewe. Watawala wameshapata walichokua wanakitaka.
  12. I

    Majaribio mabasi yaendayo haraka mbioni kuanza

    Ndio maana nilisema utaratibu uwekwe wa kuyasimamia. Hoja yangu ilijikita kwny sintofahamu iliyokuwepo kwamba miundombinu imekamilika halafu serikali bado haijakubaliana na mwekezaji. Fikiria kama serikali isipofikia mwafaka na mwekezaji ndo miundombinu iendelee kukaa kusubiri mchakato mwingine...
  13. I

    Majaribio mabasi yaendayo haraka mbioni kuanza

    Jana nilipanga leo nianzishe thread ya kushauri mradi wa DART. Bahati mbaya ama nzuri nikiwa nasikiliza magazeti asubuhi nikasikia kuhusu kuanza kwake. Nilitaka kushauri kwamba tukiwa tunasubiria majadiliano ya nauli na mwekezaji, na kwa kuwa barabara ni yetu na sio ya mwekezaji, na kwa kuwa...
  14. I

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Itumbueni serikali na Bunge wana Sidhani kama Tanesco on their own walikuwa na uwezo wa kuingia mkataba wowote bila maelekezo ya viongozi wa kisiasa. Haya mambo yamejadiliwa sana na vielelezo vimetolewa sana juu ya kuingiliwa na wanasiasa katika maamuzi ya mashirika mengi ya umma ikiwemo...
  15. I

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Binafsi nadhani tatizo kubwa lipo kwny service charge ambayo hata computation yake haieleweki. Kuhusu 3% ya REA wakuwalaumu ni wabunge wetu ndio waliopitisha kiwango hicho. Kuilaumu Tanesco moja kwa moja katika hili ni kuionea. Hakuna charge yoyote inayokuwa initiated na Tanesco, badala yake...
  16. I

    Tusipofanya hili wenyewe, wazungu watatupunguza kwa nguvu!

    Hahahaha uko sahihi mkuu. Hadi karne hii mtu anazaa matoto 7, 8, 9, nk huku hana kazi ya uhakika inayomuingizia kipato. Hali hii ni tofauti kwa wasomi na makundi mengine yenye vipato vya uhakika. Yaani mkulima anakuwa na familia kubwa kuliko professor wa chuo kikuu.
  17. I

    Tusipofanya hili wenyewe, wazungu watatupunguza kwa nguvu!

    Sisi tunazalisha wacheza pool, waendesha boda boda, wazee wa betting, mateja, nk. Wachache sana wanaokuwa na tija kwa jamii. Sina maana ya kuwatukana ila ninachojaribu kuonyesha ni kwamba tunazalisha watu wasio na tija kwa taifa. Wenzetu wanazalisha wagunduzi wa technolojia mbali mbali ambazo ni...
  18. I

    Tusipofanya hili wenyewe, wazungu watatupunguza kwa nguvu!

    Kwa nchi za Afrika kuwa na population kubwa ni liability na sio asset tofauti na nchi ulizotolea mfano za Marekani na China. Utafiti unaonyesha kadiri familia (household) inavyokuwa kubwa katika nchi za Afrika ndivyo zinapokuwa masikini zaidi. Kwa maneno mengine, kuna positive relationship kati...
  19. I

    Dhambi ya bandari haitamuacha Jakaya Kikwete

    Nimesoma ulichopost naona wewe ndo mpumbavu.
  20. I

    Tukumbushane Watangazaji wa mpira wa enzi hizo

    Alifariki nadhani 2013 au 2014
Back
Top Bottom