Search results

  1. K

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Umewahi kufukiria hili? Mtu Mme na mtu Mke wananfunga ndoa kwa hiari kisha wanajaliwa mtoto Mwanamme. Baada ya muda Mtoto anaamua kuoana na mama yake na kwapamoja wanampeleka kusikojulikana baba wa mtoto ili mama na mwanae waponde raha!!! Asubuhi imefika Watanganyika. Amekeni msisinzie.
  2. K

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Jumamosi jioni Mh. Kombani alisikika kupitia Television ya Taifa akisema kuwa Serikali ime fanyia kazi maoni yaliyotolewa na wadau kuhusu Muswada wa sheria ya mapitio ya katiba 2011 na kwamba serikali inatarajia kuupeleka muswada huo Bungeni kwa MARA YA PILI. Napenda kuamini kuwa ulimi wa Mh...
  3. K

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Nimeshangazwa na kauli kali ya Mh. Bernard Membe kuhusu BAE kutaka kurejesha change ya radar takribani £ 29.5M kupitia asasi zisizo za kiserekali badala ya kuzirejesha serikalini. Kupitia kauli yake, Mh. Membe anataka tuamini kwamba serikali yetu iliibiwa/ilihujumiwa wakati wa transaction ya...
  4. K

    Zanzibar become member of united nation - kumbukumbu

    Hivi Muungano ndiyo ulioifanya Zanzibar iache kusherehekea siku ya uhuru wake (12th Dec, 1963)?
  5. K

    Zanzibar become member of united nation - kumbukumbu

    Muogopeni Mungu! Si Muungano bali Mapinduzi ndiyo yaliyowarejesheni nyuma. Naapa naahidi Mapinduzi nitakulinda daima!!!
  6. K

    Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika/Tanzania ikiwa Wa Zanzibari watajitenga

    Faida nyingine watakaoyoipata Wazanzibari ni kurejea kwa mamia ya walowezi wa Kizanzibari waishio Bara kwenda kuijenga nchi yao. Idumu SMZ!!!
  7. K

    Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika/Tanzania ikiwa Wa Zanzibari watajitenga

    Faida nyingime watakayopata Wazanzibari ni kurejea kwa nguvu kazi (Wazanzibari) iliyolowea Bara
  8. K

    Eric Shigongo katika siasa za kupotosha wasanii

    Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa. Maarifa yanatusaidia kupambanua mambo na kuweza kuiona shillingi katika nyuso zaka zote mbili. Maarifa yanatusaidia kufanya maamuzi katika nyanja mbali mbali za maisha baada ya kufanya uchambuzi wa matoeo ya maamuzi yetu kwa siku za baadaye. Shigongo na...
  9. K

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Inafahamika kuwa Chama chetu kina utaratibu wakusomba watu kwa Fuso kutoka maeneo mbali mbali ili kuwaghilibu wakubwa kuwa kinakubalika kwa wananchi. Hata hapa Mbeya umetumika utaratibu huo huo. Kigumu Chama Cha Mapinduziiiiii!
  10. K

    Ni wasaidizi gani IKULU wanaosababisha Rais Kikwete aonekane kituko katika jamii?

    Kuwalaumu Wateule wa JK kwa serikali yake kushindwa kukidhi matarajio ya wana wa nchi si haki hata kidogo. Hii ni sawa na Mama mwenye nyumba kulalamika kwa majirani kuwa uchafu wa nyumba yake unasababishwa na uzembe wa house girl. Hiki kitakuwa kichekesho cha karne. Kama house girl ha-perform...
  11. K

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Sitaki kuamini kama Pinda alimaanisha alichokisema. Nionavyo mimi ni kama vile alikuwa anafurahisha baraza mithili ya tamthiliya ya Jiji na Wamachinga.
  12. K

    Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!!

    Nyantella, You know what? Indeed you are out of planet earth. Actually you are kind of trying to sing the theme song of all those are threatened by what active citizens are capable of doing - those who would like to see citizens of this country living in darkness without knowing what is...
  13. K

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Kukowapi kujiamini kwa JK?? Analalamika ili aonewe huruma au??? Nadhani hotuba hii itaingia katika historia ya hotuba mbaya kupata kutolewa na viongozi wa kitaifa tangu tupate uhuru. Mungu ibariki Tz; Mungu ibariki Afrika.
  14. K

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Do Santos! Nani aliyekuloga?? Au umetumwa?? Suala la Dowans halihitaji elimu ya chuo kikuu kulielewa. Elewa kuwa makosa mawili hayaweze kufanya jambo kuwa halali. Dowans ilirithi mikoba ya Kampuni ya kitapeli ya Richmond. Kwa kuwa Richmond haikuwahi kuwa halali (ilikuwa kampuni hewa) ni jambo la...
  15. K

    Wote tuungane tuseme "hatudanganyiki"

    Wapendwa nawaandikia ili msidanganyike. Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi hajawahi kuwa na si mmiliki wa Dowans. Ujio wake ni simema iliyopangwa kwa ustadi mkubwa ili kutuhadaa na hatimaye tuingie mkataba mwingine fake wa kununua umeme wa Dowans hata baada ya kuwalipa fidia. WaTZ tuweke msimamo -...
  16. K

    Waumini wenu sio waadilifu! - Pinda

    Mh. Pinda! Sema "nimepoteza uadilifu wangu wa kwanza viongozi wangu wa dini niombeeni nipone" na siyo Waumini wenu wengi hawana uadilifu. Ala!
  17. K

    Tumalizane na Mmiliki wa Dowans uzembe ulikuwa wetu

    Ewe Anold! Ni nani aliyekuloga? Au umetumwa! Hivi kweli kwa akili ya kawaida kabisa huwezi kuona kama hili ni igizo? Huyu jamaa kapandikizwa na hata presentation yake imeandaliwa na Mafisadi wanaoogopa hasira ya umma!! Amka Kaka
  18. K

    Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

    Tukio hili linaweza lisiwe ajali kama tunavyofikiria. Inaweza kuwa mkakati wa makusudi wa kuondoa fikra za Watanzania kwenye kujadili mambo ya msingi kama scandal za ufisadi (Dowans) na mustakabali wa katiba mpya na kutupelekea kujadili matokeo ya milipuko ya mabomu.l
  19. K

    Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

    Tukio hili linaweza lisiwe ajali kama tunavyofikiria. Inaweza kuwa mkakati wa makusudi wa kuondoa fikra za Watanzania kwenye kujadili mambo ya msingi kama scandal za ufisadi (Dowans) na mustakabali wa katiba mpya na kutupelekea kujadili matokeo ya milipuko ya mabomu.l
  20. K

    Mhe. Lema: watanzania 'hawaombi' bali 'wanataka' katiba mpya!

    Zingatia: Haki haiombwi, inadaiwa; na isipotolewa inapiganiwa. Asikaye an afahamu
Back
Top Bottom