Search results

  1. W

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Wenda maziwa ni machafu acha kumnyinyesha.theni tumie ya dukani
  2. W

    Kwanini walimu wengi wanaotokea DUCE na MUCE wawapo field au kazini hung'ang'ania kutaja UDSM?

    Ona mjinga huyu nilisha sema hujui kitu kuhusu udsm.uliza cc wenye udsm tukuelekeze acha kupotosha watu.unaposema ufahuru b specific .unamanisha katika kitivo kipi? Alikuambia duce au Muce kuna engineering au environmental health science nani? Na hiz ni sehemu ya koz ambazo zipo main campus...
  3. W

    Kwanini walimu wengi wanaotokea DUCE na MUCE wawapo field au kazini hung'ang'ania kutaja UDSM?

    Mtoa mada inaelekea hujui chocho kuhusu chuo na udsm in particular kaa kimya .huwez ulizwa umesoma chuo gani ukasema Muce au duce hapa hujaelewA swali.Acha dhalau hapo unaonyesha jinsi ulivyo na IQ ndogo kiasi cha nusu KB
  4. W

    Joining instructions za vyuo vya afya zitatoka lini?

    Hivi joining instructions za vyuo vya afya ni lini zaweza kuwa tayari. Na hivyo vyuo vitafunhuliwa lini?
  5. W

    Second selection za NACTE zinaweza kutoka lini?

    This not fair huwez tangaza deadline halafu kabla ya deadline unatoa maamuz
  6. W

    NACTE WANAMAANA GANI?

    Asante kwa kuni update
  7. W

    Mrejesho baada ya selection TCU

    By then hiyo four points ni minimum entry requirement. Sio kila mwenye D D anaweza omba chuo chochote No kila chuo kina cut point yake
  8. W

    Msaada kuhusu hili

    Naomba kuuliza kwa anaefahamu, ni lini? Joining instructions za vyuo vya afya vya selikali zitatoka maana kupo kimya
  9. W

    USHAURI KWA ANAYEVIFAHAMU HIVI VYUO

    Kwa Iringa kuna chuo ksma RUCU kina kozi hizo unazotaka bado kunanafasi
  10. W

    NACTE WANAMAANA GANI?

    Ninachofahamu unavyo omba kupitua nacte hakuna attachment yoyote zaidi ya number za form four
  11. W

    Second selection za NACTE zinaweza kutoka lini?

    Swali kama uteuzi ulishafanyika tangu tarehe 10sasa hiyo deadline ya tarehe 15 ilikuwa ya nini
  12. W

    Msaada kuhusu second round

    Wenye division moja ni wengi tatizo ni competition omba na vyuo vingine kama RUCU INA kozi baadhi unazo zitaka.waweza kosa chuo dispute having ccc
  13. W

    Nataka kuomba chuo, je nitapata?

    Ndugu usisubutu.maana kwa sasa huna sifa
  14. W

    TCU toeni msaada Kagera

    Walisema watu wa aina hii walio omba before tangazo LA kupandisha sifa watawarudishia pesa zao wacha yusubiri
  15. W

    NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

    Usisubutu ufuta machaguo hayo maana utakapo rudia baadhi ya vyuo utakuta wanasema vimejaa.baati mbaya nacte system hairuhusu kufuta chaguo moja tu
  16. W

    Mrejesho baada ya selection TCU

    Kuna vyuo like RUCU Iringa kina nafasi watu waaply hata vya private kuliko kukosa kabisa
  17. W

    TCU toeni msaada Kagera

    Walio wengi hapo ni wale alio athilika na kubadili gia angani ya DD
  18. W

    Naombeni ushauri

    Huyo bado ni mwanafunzi hajamaliza diploma. Arudi nuclear hizo sup
Back
Top Bottom