Search results

  1. Mlyuha

    Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Ngumu kujua....tatizo cctv iliishia maeneo ya kawe.
  2. Mlyuha

    Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

    Mimi sikupi pole Pascal ila nakupa hongera. mwanzoni nilikuwa sikuelewi lakini nahisi naanza kukuelewa. kwenye ukweli uongo hujitenga.
  3. Mlyuha

    Spika Job Ndugai ataja sifa za mbunge kutibiwa nje ya nchi

    Mungu ni mwingi wa huruma na neema. Hubatilisha nia mbaya na huinua zilizo njema. Bila kujali uchama au ubaguzi wa aina yoyote, Ndungai na wenzake wameonyesha nia mbaya sana katika suala zima la matibabu ya Lissu.
  4. Mlyuha

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza na Ku-"manage website"

    "Southern Consult and Agro-Products Company (T) Ltd (SCAP) ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na biashara mbalimbali za ushauri wa kitaalam wa uendeshaji miradi ya maendeleo (project management), tathmini ya miradi, uchakataji mazao ya kilimo (agro processing), uimarishaji wa taasisi za...
  5. Mlyuha

    ‪Waziri Manyanya: Mbaazi ni chakula kizuri chenye protini na watanzania wanaweza kula kwakuwa soko si zuri‬

    umenikumbusha msemo unasema " mshale kwao porini" teh...
  6. Mlyuha

    ‪Waziri Manyanya: Mbaazi ni chakula kizuri chenye protini na watanzania wanaweza kula kwakuwa soko si zuri‬

    Ndo shida ya kuwa na viongozi wasiojiandaa kujibu hoja za msingi zinazogusa maisha ya wananchi...hivi inaingia akilini mkulima amevuna tani 5-10 za mbaazi unamwambia zina protini ya kutosha atumie kama chakula? Hizo super market anazozizungumzia ameshafanya uchambuzi wa 'absorption capacity" ya...
  7. Mlyuha

    Lazima tujiulize kwanini ripoti ya CAG haijahusisha ununuzi wa ndege, ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato na ununuzi wa meli

    nafikiri haya yatakuwa yamejumuishwa kwenye suala la 'matumizi nje ya bajeti'....
  8. Mlyuha

    Spika Ndugai, Pascal Mayalla alijiandaa. Kasome upya makala,utaadhirika...

    'wewe wabane kule mimi ntawashughulikia huku.....'
  9. Mlyuha

    Matamko kuhusu Elimu yaliyotolewa Mtwara ni hatari sana

    Atakuwa amekosea alimanisha mwaka mmoja.....vinginevyo basi ni hatari sana kwa elimu yetu.
  10. Mlyuha

    Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    wewe kweli jingalao unadiriki kuwatukana viongozi wa dini wapuuzi. Laana itakufuata hadi kaburini.
  11. Mlyuha

    Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    kwahiyo mtoa mada ulisubiri watoe waraka ndo ujue wajibu wao ni pamoja na kukemea maovu mengine? Tusikwepe majukumu. Kama waraka umekugusa chukua hatua
  12. Mlyuha

    Tofauti ya wazi ya waraka wa TEC na KKKT

    Nafikiri muwasilishaji umeminywa na taswira ya woga..lazima ifikie mahali tukubali kusema wazi vinginevyo wengi hawataelewa. Kumbuka asilimia kubwa ya Watz hawawezi kutafsiri hizo filosofia.
  13. Mlyuha

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Namshauri mkuu aangalie hii kauli yake kwa mapana zaidi halafu atwambie ni nani wanatishia usalama wa taifa. Hata hivyo nampongeza sana angalau kwa kuonyesha kuwa anafuatilia hali ya nchi kwa sasa
  14. Mlyuha

    Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    Nina wasiwasi kama viongozi wetu wanaelewa uzito wa majibu wanayoyatoa katika mustakabali wa taifa au siasa ndo zinawaendesha?
  15. Mlyuha

    Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    hakuna majibu hapo. ni aibu tupu. serikali ijibu hoja. hoja hazijibiwi kwa tuhuma bali facts....
  16. Mlyuha

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tuendelee kukumbushana hii nchi ni yetu sote. katiba lazima iheshimiwe na kila mtu bila kujali cheo wala kabila. Uvunjaji katiba hauwezi kutuacha salama. CCM badilikeni
  17. Mlyuha

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Kama unataka kujua kuwa malaya wana msimamo kajaribu kuwadhulumu ...
  18. Mlyuha

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    sitarajii kuona upinzani unafurukuta 'this time'. Rejea uchaguzi wa madiwani uliopita: mawakala wote watawekwa rumande na uhuru tuliouzoea hautokuwepo. shame on polissm.
Back
Top Bottom