Search results

1. M

Generator for sale,automatic lister petter17.5 kva 3phases ex-uk

Diesel engine generator, Famous Lister petter 4 cylinders, Silent canopy type good running condition. Can power a Guest house with 30 rooms with TV and fans or Medium size house/office/Bussiness with 3 Air conditioners, water heater, 2freezers, TV and lights. Going cheap at 9.0m Tsh. For Viewing...
2. M

Deep sea electronics(dse) generator controllers

Installation and Troubleshooting of these famous British made Generator controllers - all models. I am based in Dar es salaam Tanzania East Africa. For more information call 0765849031 or just send PM.
3. M

Generator winding

Kama bado hujapata huduma nipigie 0765849031 sikupati kwa simu. Niko Dar es salaam. uko wapi? JF ni pana inavuka hata mipaka ya nchi
4. M

Deep sea electronics(dse) generator controllers

Hapana si kweli jaribu kuulizia bei ya battery mpya dukani.
5. M

Deep sea electronics(dse) generator controllers

N40 ni Tsh 40,000, N90 ni Tsh 60,000/ kama idadi ni kuanzia tano na kuendelea kuna Discount. Nitafute tuongee zaidi. Niko Dsm
6. M

Deep sea electronics(dse) generator controllers

Kwa mara ya kwanza na kwa kutumia teknolojia toka Marekani, nina re-condition battey zinazoanza kusumbua za Magari, generators, pikipiki, Boat, folklifts, Solar, Ups nk aina ya Lead acid (Wet and sealed type). Badala ya kununua battery mpya unaweza kuokoa gharama hadi 75%. Kwa Maelezo zaidi...
7. M

Deep sea electronics(dse) generator controllers

Nina re-condition battery za magari, pikipiki, ups,solar, folklift nk aina zote mbili za lead acid za maji na kavu(sealed) kwa kutumia teknlojia toka marekani. Badala ya kununua battery mpya unaweza kuokoa gharama 75%. Guarantee ipo. kwa maelezo nipigie 0765849031
8. M

Maendeleo Zambia yaanza kuonekana

Mbona hz kama vile ni sera za Chadema? ina maana CHM goes International?
9. M

Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

Nafikiri suali zuri lingekuwa: Kwa nini cdm wanabwagwa na cuf kwenye midahalo lakini kwenye uchaguzi halisi cuf wanabwagwa na cdm?
10. M

Igunga: List ya Vigogo wa CCM

philipu Mangula
11. M

Nani anafaa kuwa Rais kutoka vyama vya upinzani?

Inaonekana hukujiandaa kabla ya kutoa hii hoja.Upande wa upinzani kuna viongozi wengi tu wanaoweza kutawala vizuri.Kidini Tanzania iko almost 50-50. Hakuna raisi anayeweza kutawala kidini Tanzania na akafanikwa. Hizo ni porojo tu za wanasiasa. Wewe nyumbani kwako una mke una...
12. M

Eng. Stella Manyanya ana maslahi gani kwa wafanyabiashara wa Mafuta?

Pamoja na kuwa Engineer haijamsaidia. Inawezekana amezoea kuongea na mitambo hawezi kuongea na binadamu?
13. M

Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

PIA KUNA TOZO LISILO RASMI KWA AJILI YA CCM
14. M

Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

USISAHAU KUNA TOZO LISILO RASMI KWA AJILI YA CCM
15. M

Rafiki wa kiume

Mbona hukusema asiwe mwathirika au umesahau?
16. M

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Inasikitisha sana.Pengine kama watanzania tungekuwa watu makini, dawa ingekuwa ni kuyasusia hayo mabasi yao hata kama yatabadilisha jina hadi kampuni yao ifirisike then ingekuwa mwisho wa ajali zao za kijinga.
17. M

Basi la SUMRY lachinja tena, KASULU

Ndudu , Habari za Uhakika toka Kasulu Basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kuelekea Arusha limepata ajali jana asubuhi na kuua huko kasulu. Habari ni confirmed kwa sababu mm mwenyewe nimepoteza jamaa yangu aliyekuwa anaelekea Arusha. Majeruhi na Maiti walipelekwa jana hiyo hiyo na Ambulance...
Back
Top Bottom