Search results

  1. B

    Ndesamburo alivyoipasua CHADEMA Kaskazini

    Hawawezi ona hao, wanachoweza ni kelele nyiiiiiiiiiingiiiiii! Hapo aaa, wananweza. Demokrasia ni kwa wachache na wenye nguvu ndani ya CDM
  2. B

    Ubunge wa EALA: Wateule wa CCM wametoa picha kwanini CHADEMA waliamua kumaliza kazi

    Khaaaa! Jamani humu watu mnaulizana maswali hata yale hayahitaji kwenda shule! Bunge la JMT sio la chama, kwa mantiki hiyo unataka kuniambia hata CDM sasa ni CCM? Jamani upotoshaji sio msingi wa ujenzi wa nchi. Be realistic and consider truth
  3. B

    Ndesamburo alivyoipasua CHADEMA Kaskazini

    Hakuna kilichoongeza na mweka uzi pale. Yoooooote ni habari iliyoandikwa gazetini Mwananchi leo. Fuatilia hiyo link.
  4. B

    Ndesamburo alivyoipasua CHADEMA Kaskazini

    Na Daniel Mjema, Mwananchi Wiki iliyopita kulikuwa na uchaguzi ndani ya Chadema ulilenga kuwapata viongozi wa Kanda ya Kaskazini lakini ukahirishwa ghafla na siku ya mwisho. Kuahirishwa kwa huo, licha ya kunaonekana kama ni tukio la kawaida kulizingira na mambo mengi yaliyojificha nyuma ya...
  5. B

    BOT wanaficha ripoti ya Februari na Machi kuhusu uchumi, kwa nini?

    Kumbe hilo ni tatizo binafsi! Usiwe mtu wa kuwadanganya wananchi kwa nia yako ovu isiyo na tija kwa taifa. Tanzania kwanza mambo yako baadaye.
  6. B

    BOT wanaficha ripoti ya Februari na Machi kuhusu uchumi, kwa nini?

    Sijakuelewa, nani afurahi na kwanini afurahi?
  7. B

    BOT wanaficha ripoti ya Februari na Machi kuhusu uchumi, kwa nini?

    Anayepika data hafanyi utafiti.Mtafiti hutafuta data na kuzifanyia kazi. BoT siyo type ya hao unaodhani wanapika. Believe me.
  8. B

    Maneno ya Godbless Lema bungeni

    Naani kakudanganya wewe? Kuna Saikolojia ndogo tu! Mtu mweupe siku zote huwa napiga kelele ili watu wajue yupo. Kiukweli hana chochote zaidi ya kujaa upepo na wasijua kujaa upepo wakidhani anajenga hoja. Duu, ama kweli wajaa upepo wanaweza potosha njia wakijua wao wanataka nini na wanajua nguvu...
  9. B

    BOT wanaficha ripoti ya Februari na Machi kuhusu uchumi, kwa nini?

    Mkaruka, dhana hii si ya kiungwana kabisa, wamepewa kazi ya kufanya waache wafanye kazi yao. Takwimu ni msingi wa kazi za utafiti. Wafanye utafiti wao, waeleze wananchi hali ya uchumi ilivyo. Imani yangu wapo vizuri kazi hiyo ya kitafiti wanaiweza. Ndiyo maana wamepewa jukumu la msingi la kutoa...
  10. B

    BOT wanaficha ripoti ya Februari na Machi kuhusu uchumi, kwa nini?

    "Kimla, Naamini hilo ni jukumu lao la msingi kuandaa na kutekeleza sera ya fedha na majukumu mbalimbali ikiwa ni Benki ya Taifa ili waweze kujenga mfumo wa fedha ulio imara na unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa. Subira yavuta heri inshalah watatimiza wajibu wao.
  11. B

    Utapeli wastukiwa katika usajili wa gazeti la Lete Mambo

    Wapiga dili bwana, hawanaga hata aibu. Wazingatie "Asiyefanya kazi halali na asile"
  12. B

    Utapeli wastukiwa katika usajili wa gazeti la Lete Mambo

    Hii sasa basi, watu wamezidi mno kuwa wasanii, kwanini ughushi taarifa zako kama unafanya mambo yako au kazi zako kihalali? Naungana na Msemaji aliyesisitiza ".........wale wanaohisi waliwasilisha nyaraka zao na kuona kwamba zina utata kuja kuzirekebisha na watakaobainika kuwa walighushi...
  13. B

    Prof Ngalinda anaipeleka wapi elimu yetu chuo chetu cha EASTC?

    Nijuavyo mimi, wanafunzi ambao hawajali muda wa kusoma wanakuwa na mambo yao, wanajaribu kuweka uongo wake ili kufurahisha uzembe wanapokuwa kukata kitabu ili baadae waweze kuwahadaa wazazi na walezi wao. Hapana, kwenye ukweli ni lazima tuwe wa kweli. Utaratibu wa kulipa ada katika chuo hicho...
  14. B

    Prof Ngalinda anaipeleka wapi elimu yetu chuo chetu cha EASTC?

    zaidi ya hayo, ona sasa ilivyokaa na wanafunzi ambao hawajali muda wa kusoma wanakuja na mambo yao, anajaribu kuweka uongo wake ili kufurahisha jukwaa. Hapana, kwenye ukweli ni lazima tuwe wa kweli. Utaratibu wa kulipa ada katika chuo hicho ninavyofahamu mimi unafuata utaratibu ufuatao: i...
  15. B

    Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    Na kweli umeishia hewani, jamaa wametangaza kuwa ukuta haupo kesho maana yake ni ukuta dhahania huo.
  16. B

    Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    Yametimia, jamaa wamechomoa, wamekimbia kuwaambia wananchi kuwa walichemka na sasa wametangaza kuondoa ukuta wao. Maji ya shingo na soda iliyotikiswa ni upepo tuu huo, hahahahahahahaaaaa!
  17. B

    Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

    Umepotea, labda tafuta mfano mwingine. Huo, hapana. Tenga muda, tafari na utagundua Tanzania ni nchi inayokua kwa kasi ikiongozwa na dhamira na dhamiri za maendeleo. Kama umekalia majungu! Ndg yatakushinda utabaki unalialia tu bila sababu, maana hujitambui.
  18. B

    Operesheni UKUTA: Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

    Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaa! Kimenuka huko? Walidhani wao hawahusiki? CAG aende huko uone watakavyotimua, ooooo anaingia uhuru wa vyama. Hela ya wananchi hiyo ndio maana inaitwa ruzuku.
Back
Top Bottom