Search results

  1. Sanda Matuta

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakuu,naona mnaliendeleza libeneke.Adm.heshima kwako and all Chelsea Fans out there.
  2. Sanda Matuta

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    inaoneka huyajui maisha na umekuja juzi mjini,mimi naishi na watoto wa kikristo wawili na wote nawasomesha mmoja chuo kikuu na mwingine sekondari,haya na mimi ni mwisilamu safiii.embu acha maneno ya uchochezi nyio ndio mnaosababisha matatizo na hizo imani zenu za facebook na jamii forums
  3. Sanda Matuta

    Mwanaumme ni nini?

    wabohaki,kaka Ruta Nawasalimu wa kunyumba uanamume ndio utata mengineyo ni viambata. sio gari unalobuluta wala ghorofa yako nyumba au wangapi umewapata
  4. Sanda Matuta

    Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

    moyo wangu unaikumbuka LIBYA ya Gaddaf.........kwa maneno yako Mkuu,TWASILA
  5. Sanda Matuta

    King'amuzi cha coconut kimekaa kitapeli zaidi

    Ndg.mimi binafsi nimeifatilia hii biashara kwa karibu sana,hii unachokiona ni matokeo ya serikali yetu kufanya mambo kisiasa zaidi plus conflicts of interest kwa baadhi ya watendaji wa mamlaka ya mawasiliano TCRA. startime kupitia star media,ting kupitia AGAPE tv,na itv+star tv bado hawajaleta...
  6. Sanda Matuta

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    ​the blues juuuuuu zaidiiiiii.......timu bora kuliko zote
  7. Sanda Matuta

    Heko gazeti la Mwananchi

    Nina endelea kupongeza gazeti kwa hizi makala za 50 ya uhuru "watekaji walikuwa wahuni tu!?" William Shayo
  8. Sanda Matuta

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    WC, Kweli hawa watu walichanga kwa NIA moja,UWEZO na MIOYO yao misafi,sasa kinachotufanya sisi tushindwe KUWAPA TUNU nini?? au majina yao hayataleta UTAMU kwenye kuyatamka??? kama yale mingine ambayo juzi tu tumyapa vitivo pale Mlimani
  9. Sanda Matuta

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    QUOTE=Mohamed Said;2730763]
  10. Sanda Matuta

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    MM, That very cheap urguement. Sina la kuongezea katika hilo ila jitazame na wewe utaona mapungufu yako hata katika kufikiri.
  11. Sanda Matuta

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Mkuu, wewe kuwa kwako Mhehe au kujua matambiko akukufanyi kuwajua wakina mkwawa Chukulia mfano mimi,kuwa kwangu Muisilam hakunifanyi kumjua Muhamed Said na ndugu zake zaidi ya yale atakayo taka tuyafahamu mwenyewe"
  12. Sanda Matuta

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Mkuu MS Asantee kwa hili!wewe ni Mtaalum haswa wa haya maswala. Nilimuuliza mchangiaje mmoja hapa kwa "anawajuwa hawa watu kweli au ?",Ona sasa "NONDO hii ni kubwa kuliko yeye".Kwa wachangiaje wengine "tuache dhana"
  13. Sanda Matuta

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    UOTE=Kigarama;2729584]Natokana na Ukoo wa kina Muyinga hili la Mkwavinyika (MKWAWA) kuwa muislamu hakika si kweli kabisa. Baba yake Mkwawa, Mnyigumba ambaye kaburi lake liko pale Lungemba hakuwahi kuwa muislamu. Uislamu Kalenga makao makuu ya Mkwawa uliletwa na wanubi na Wamanyema ambao walikuja...
  14. Sanda Matuta

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Amaizing...!!! Baada ya kukaa zaidi ya masaa 18 ukitafakuli jibu la kutoka nalo,sasa umelipata...simply "remarkable" Bravo Mkuu Nguruvi 3. Umetumia zaidi ya weridi katika kujenga HOJA yako na umetengeneza mazingira ambayo yatakutoa wewe "moja kwa moja" kwenye lawama kutoka kwa wachangiaji na...
  15. Sanda Matuta

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkuu, Huna haja ya kumwekea maneno mdomoni Mzee Muhamed Said,watu wote tumesoma na hatujaona neno vita sasa wewe haya umeyatoa wapi!? Au wewe unalihitaji hilo liwe mtaji wa kisiasa au kwengineko?ili ionekane kwamba MS amechochea vurugu? Ninacho kumbuka yeye kusema "nyinyi na sisi kukutana...
Back
Top Bottom