Search results

  1. J

    Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Pole sana Chief! Naamini sababu ya kuweka huu uzi ni kupata ushauri pia sio tu sympathy. 1 - Hili unalipotia wapo wengi waliopitia na wakatoka na kukaa sawa kwahiyo la kwanza kabisa USIKATE TAMAA NA USIKIMBIE FAMILIA. Jikaze na vumilia. Hii ni solution ya kwanza kabla ya solution zinazofuata...
  2. J

    Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

    Acre 1 ni 64 x 64 kwahiyo haina tofauti sana na 'tuviwanja' vya 40 x 60 Chief.
  3. J

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Alihudhuria na kupewa nafasi ya kuongea.
  4. J

    Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

    Harrier imemzidi Vanguard kwenye vigezo gani?
  5. J

    Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Title ya hi post ibadilishwe sasa baada ya taarifa sahihi kutolewa.
  6. J

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    You are making a good point that smartness is not genetic and hence not specifically prevalent on any particular ethnic group. But unfortunately you are not then explaining how the tables were turned and we became the weak ones. If it's not a smartness issue, what other weakness allowed the...
  7. J

    Ujazo (volume) wa Scania (Mende)

    Habari Wakuu Gari za scania aka Mende zinazotumika sana kubeba mchanga na kokoto zina ujazo gani (volume)? Kama nitapata mchanganuo kama kuna zenye ujazo tofauti itakua vyema. Asante.
  8. J

    Kwa barabara hizi jimbo la Ubungo, Mnyika ni Mbunge wa Kudumu

    Boss nasikia barabara ya goba to Mbezi beach Kuna maeneo imesimama kwakua malipo ya watakaovunjiwa nyumba kupisha barabara hayajakaa vizuri. Can you confirm if this is true...?
  9. J

    Msaada engine 1NZ-FE

    Kama upo Dar Nenda ofisi za chloride exide pale Millennium business Park shekilango. Wanauza batteries ila pia wanatoa ushauri kuhusu matatizo yaliyo battery related. Mimi walishahi kuniambia gari yangu inahitaji battery kubwa zaidi N50 kwakua ni cc 2000. Ila kwa spacio N40 should be enough. I...
  10. J

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Rudi kwenye post zangu! Hilo swali la yesu kufa na ku run dunia kama limeulizwa si mimi niliyeuliza. Sijui kwanini umenihusisha, What I have noticed, badala ya kupata ufafanuzi I get attacked! Tuishie hapa! Sijapata majibu yanayoridhisha! Nilishawabana wengi wanaosema wanamjua mungu na...
  11. J

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Boss, kwanza kabisa wewe unajibu swali kwa swali all the time! Why? Me ni mwanafunzi, nifundishe! Naomba nipe jibu ya maswali niliyouliza! Pili, umeongelea 'kuhairisha mungu alichopanga'. Hili linatupeleka mbali zaidi. Kwamba Kuna kupanga then (after some unknown time but before the actual...
  12. J

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Kweli elimu yangu ni ndogo (though that's relative). Inawezekana kweli jibu langu la kitoto (in your opinion). But what you have done is agree to all my premises except the conclusion. Unfortunately you haven't explained why? Why do you think this is just? Why create people if he already knew...
  13. J

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Kuna ambacho unataka kusema? Changia!
  14. J

    If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Is there hell? Will some people go to hell and burn forever? Does God know if you will go to heaven or hell before you were born? If you answered yes to all of those questions, your God is not a just God, he created people while he knew they will end up burning forever!
  15. J

    Hili la miaka nane ya uchakavu magari ni kuwakomoa wananchi na kulinda barabara zisizo na Viwango

    Hii haimaanishi lazma wote tuendeshe gari za 2006. Gari inayozidi miaka 8 italipishwa kodi ya uchakavu ambayo si nyingi kwa mtu mwenye uwezo wa kununua gari. Mimi nililipa 1.3 mil wakati nanunua kama kodi ya uchakavu. Hakuna model mpya za aina niliyotaka. Kama wengi walivyoongea, limit ya...
  16. J

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Wakuu nisaidieni! Jitihada zote za kupinga kamati kuu isimjadili zina faida gani? Baraza kuu si litamfukuza uanachama tu? Hii karata sijaelewa alivyoicheza!
  17. J

    Olympus Has Fallen VS White House Down

    WHD is a comedy... Olympus Has a serious realistic plot!
  18. J

    ulitaka kusemaje ?

    1. Shusha madirisha (akimaanisha Shusha pazia). 2. Nenda ITV (akimaanisha badilisha channel to ITV)
  19. J

    Wa kulipa mnapotoka out

    Ciello me wala sina tatizo dada yangu. Me wangu tunaelewana mpaka sikuwahi kufikiria hii kitu. Kuna Mshakaji wangu kafanyiwa 'unyama' imeniuma. Ikanifanya nifikiri huu utaratibu wa kulipa ukoje. Utanisamehe Siwezi kuweka mazingira halisi hadharani.
Back
Top Bottom