Search results

  1. M

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Huyu mtoa mada alisema Iran hawezi kurusha ata dongo Leo amebadili mada
  2. M

    Msaada kujua nini kinaua kuku wangu

    kipindupindu hiko watafutie esb
  3. M

    Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?

    wanaweza ila stater ndo bora kwenye kumsaidia ukuwaji wake hawatodumaa
  4. M

    Nahitaji vifaa vya Incubator

    Wapi naweza kupata vifaa vya incubator Kama feni, heater, Tray na Thermostat?
  5. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

    Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
  6. M

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    hapana hiyo muvi huyu na yule aliyemnypa nywele kwa kisu ndo mastarling
  7. M

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    kuna muvi moja ya kivita yupo komando kipenzi na masokolindo komando kipensi anatumwa kwenda kuomba msaada redio hazifanyi kazi vita na wavetnam mpaka anafika kambini jamaa washakufa karibia wote kuna cha uoga anajificha kichakani ana pona masokolindo alifanya kazi kubwa ila anavuta vitano...
  8. M

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    vipi collabo ya jike kienyeji dume saso na dume liwe la kienyeji jike liwe la chotara saso au kroila ukitotolesha kizazi kinachofuata kinakuaje
  9. M

    Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    ndugu zangu musifike huko dini zililetwa tu hizi wote sisi watanzania ila ottman empire ni historia ya kweli na sec tulisoma na ata ukiigoogle unaipata yote kama unayoiona kwenye tv na hawa jamaa walitawala dunia yote mpaka ulaya na afrika na ndo waturuki wa leo ilisambaratishwa baada ya kuwa...
  10. M

    Dark days 17/03/20...

    nimejiridhisha bacheor og ni master plan kamzima yoga kilaini big up mwamba
  11. M

    Jua tofauti ya Unleaded na Super/Premium Unleaded Petrol

    je ni kweli? super yanawahi kuisha kuliko unleaded au Yale ya total?
Back
Top Bottom