Search results

  1. arabianfalcon

    Msaada - mtu anasumbuliwa kwa kutiliwa dawa kiintelijensia - ananuka madawa, tumsaidieje?

    Kuna mtu anasumbuliwa kwa muda sasa anatiliwa dawa kiintelijensia (kwa siri) muda wote ananuka madawa, na yanapopungua wanaongeza tena. Kisaikolijia inamgharimu na kukosa raha kama walivyo binadamu wengine. Hapa Jamii forums hapakosi wenye uchungu kwa wengine, wenye moyo mwema na upendo wa...
  2. arabianfalcon

    Anahisi kuwekewa dawa za harufu mbaya kisiri nini afanye?

    Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona. Kila nguvu ya dawa ikipungua wanaongeza tena. Hata walio naye wanasikia harufu ya madawa hayo. Inamfanya apate...
  3. arabianfalcon

    Zitto Tunakupenda - Zitto Karibu Mkoa wa Njombe

    Japokuwa tupo mbali, ukweli ni kwamba Tulikuwa tunafuatilia kwa ukaribu sana mikutano yako yote wewe mhe. zitto, mikutano ya mkoa wa Kigoma. Kwa moyo wa dhati, tunakukaribisha kwetu Njombe uje uzungumze nasi. tukusikie kwa kinywa chako wewe mwenyewe! tulikwambia ukawa husikiii. cdm hataki yy.
  4. arabianfalcon

    Filikunjombe: Kigwangalah anaganga njaa, Anajitafutia "cheap popularity"

    Mchakato wa kumng’oa madarakani Spika wa Bunge, Anne Makinda ambao umeanzishwa na Mbunge wa Nzega, Dk Khamis Kigwangalla (CCM), huenda usifanikiwe kutokana na vikwazo kadhaa vikiwamo kupingwa na baadhi ya wabunge wenye ushawishi mkubwa katika Bunge. Wabunge wameanza kumpinga hadharani kuhusu...
  5. arabianfalcon

    Dalili za mwanamke anayetembea nje ya ndoa au nje ya mpenzie

    Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. Maumbile Viungo vya uzazi Viungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila kuwa na matumizi ya mara kwa mara au muda mrefu...
  6. arabianfalcon

    Kinadada na mabadiliko: You can kill me but you cant kill what am standing for

    Catherine Francis you can kill me but you cant kill what am standing for Ni ujumbe mzito ambao unazidi kupenya mioyo ya watanzania bila kujali jinsia. Huwezi kuamini ujasiri walio nao watanzania waleo ukiongozwa na vijana jasiri kutete haki na demokrasia ya nchi yetu. Naam imepenya akilini...
  7. arabianfalcon

    Zee comedy

    Mambo wana JF? Jamani nanai ana habari kuhusu mmoja wa hili kundi nilisikia alikua mgonjwa sana kuna mwenye habari ya hali yake inaendeleaje mnijuze?
  8. arabianfalcon

    Kesi ya Kifo cha Michael Jackson

    Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa ushahidi, hivi sheria za marekani zinasemaje?
  9. arabianfalcon

    Wanaume kama mashoga

    Habari zenu wana JF, Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale alio yafanya na mpenzi wake chumbani hii inakua ni sifa aonekane rijali au ukosefu wamalezi?
  10. arabianfalcon

    Shoga fisadi

    Mambo wana JF, waugwana na jambo linanisugua roho mpaka nakosa usingizi, kuna mdada amechukua mume wamtu juu yakua anajua kama anamke na watoto na yeye ni mkristo huyo mdada, kwakua ndoa hakutualika alijua kua tutajua ukweli sababu mume alomuoa tunamfahamu na mke wa huyo bwana ni rafiki yetu...
  11. arabianfalcon

    Nilikutema kumridhisha mama

    Wapenda wana JF habari za leo, Rafiki yangu kazini leo kanieleza mkasa wake nimemuonea huruma sana naombeni ushauri wenu wenzangu. Huyu dada alikua na mpenzi wanapenda sana penzi lao lilidumu miaka mi3,mama wa mtoto wakiume akawa Anajifanya anampenda sana huyu dada sababu mtoto wake alikua...
  12. arabianfalcon

    Mume asie tosheka na shoga asie fadhila.

    Kwenu wana JF, Kuna jambo limenikita kwenye roho, niko na mdogo wangu ana mumewe wana watoto wa4 lakini mume wake tabia yake sio nzuri, Mkewe alipo kwenda nyumbani kutembea rafika wa mdogo wangu wa kike alienda nyumbani kwa mdogo wangu kumuomba shemeji Eti hana sehemu ya kukaa anaomba ampe...
  13. arabianfalcon

    Nampenda lakini basi

    Habari zenu waungwa, Nna jambo langu linaninyima usingizi, Kuna Mpenzi wangu wazamani sana nilidhani alikua ananipenda lakini nimegundua hanipendi au ananitumia tu nilikua nae kwa mda wa miaka 8, ghafla nilikua na mimba yake akasema hayuko tayari niitoe,kwakua sikua na nia mbaya na yeye...
Back
Top Bottom