Search results

  1. telex

    MBEYA: Huu ubahili wa kutokuwasha taa za nje ya nyumba wakati wa usiku mtaacha lini?

    Mi nimegombana sana na mwenyekiti wa mtaa wangu kwenye vikao vya ulinzi shirikishi. Shida kubwa ni Elimu. Wako watu wanaamini kifaa kinachokula umeme sanaa ni flash disk. Wananikera sana.
  2. telex

    Maumivu ya moyo....!!!

    Usimwache! Mpende zaidi na zaidi.
  3. telex

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kadi yoyote ya bima unapata vipimo na hiyo Heligo kit.
  4. telex

    Nimeweka record leo mlima kitonga.

    Kama hakuna vicheche.
  5. telex

    Nimeweka record leo mlima kitonga.

    Wenzako tunapanda kwa dakika 6.7sek.
  6. telex

    Madereva wa Masafa marefu: Changamoto mbalimbali tunazokutana nazo barabarani Usiku

    (wabakaji wanaotumia maparachichi kama vilainishi) hasahasa njia ya Dar Tunduma maeneo ya igawa. Hatari sana.
  7. telex

    Madereva wa Masafa marefu: Changamoto mbalimbali tunazokutana nazo barabarani Usiku

    Unaogopa maparachichi! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. telex

    Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Lissu na wengine wengi walishapiga kelele bungeni hawakusikilizwa. Kama asivyosikilizwa sasa.
  9. telex

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Jamaa alikaribishwa vizuri mpk akajiona yeye ndiye mmiliki wa mawingu fm.
  10. telex

    Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe afungua kesi ya kikatiba dhidi ya RC Makonda

    Anatambua haki zake kama raia, najua hata ww unazijua haki zako vizuri.
  11. telex

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Makonda kushitakiwa
  12. telex

    Anasema namuumiza wakati duuduu

    tumia cement ya dangote inaleta utelezi mzuri.
  13. telex

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    duu kuna koment za watu humu, nahisi lile somo la uraia walifeli kwa alama A.
  14. telex

    Majibu Mujarab kwa Zitto Kabwe juu ya sababu ya kuongezeka mishahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016

    hakuna ongezeko la mshahara lililofanywa na serikali hii labda ututajie kada zilizoongezewa.
  15. telex

    Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu anapwaya, hafai

    hofu ya kuhalalishwa kwa tuhuma.
  16. telex

    Naibu Spika Tulia Ackson Mwansasu anapwaya, hafai

    kwani waziri mkuu angekubali hizo tuhuma?
  17. telex

    Yutong na Scania

    muro ipi? Kama ni yutong basi ina jiko la scania gia 12.
  18. telex

    Yutong na Scania

    CB 46 roho ya paka.
Back
Top Bottom