Search results

  1. Ta Muganyizi

    LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

    Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana. Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu. Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
  2. Ta Muganyizi

    Serikali iingilie kati Suala la Bodi ya Mikopo. Ni Kama wamefanya makusudi maombi yashindikane

    Hivi hata aliyeko Mwanza,, Bukoba , Kigoma aje kuomba msaada Dar es Salaam Ofisini
  3. Ta Muganyizi

    Serikali iingilie kati Suala la Bodi ya Mikopo. Ni Kama wamefanya makusudi maombi yashindikane

    Habari wadau. Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA. Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
  4. Ta Muganyizi

    Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

    2025 atafute Simba na Wanyarwanda wampigie kura Misungwi. Huku Mwanza wanayanga tunajadiliana Kuandamana.
  5. Ta Muganyizi

    Wimbo mpya tuliojua unaitwa Nakosa Namna unakuja

    Aisee tumesubiri sana
  6. Ta Muganyizi

    Wimbo mpya tuliojua unaitwa Nakosa Namna unakuja

    Wimbo uliosumbua mtandaoni hasa youtube kwa kuwekwa kipande kwa miaka 2 iliyopita hatimaye unazinduliwa. Muimbaji unaweza kuwasiliana kwa namba yake ya Simu
  7. Ta Muganyizi

    Kuhusu umeme. Mbona kuna malipo kibao yanaonesha tunakatwa REA?

    Habai wadau. Nilidhani kwa vile kila tukinunua luku tunalipia REA hata ukiwa mjini nilidhanih gharama za umeme zingepungua hasa zile za kuunganishiwa umeme. Ila kinyumr chake imesemwa umeme ulipiwe kama zamani. Watu wanasema umeme kushushwa itakuwa sehemu ya kamapeni mwaka 2025. So watatumia...
  8. Ta Muganyizi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Urusi walisema Watatrade na China, North Korea na Iran.
  9. Ta Muganyizi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamani wababe huko wanatunishiana misuli. Hapo hapo Pentagone ya Marekani imejipanga Kitambo.
  10. Ta Muganyizi

    Tanzania: Tunahitaji Ugaidi wa kweli ili tuweze kutofautisha na wakina Mbowe?

    Naona aibu kwa nchi hii. Naona aibu hata kuwaona wakuu wa Polisi wa nchi yetu.
  11. Ta Muganyizi

    Maajabu: Twalaumiwa siye badala ya waliomfunga?

    1. Anaombaje radhi? Kwamba mnisamehe kweli nilitaka kulipua ila sirudii tena? Yaani haiji kichwani aisee. Aliyemshitaki ndo aombe radhi kuwa alidanganywa basi.
  12. Ta Muganyizi

    Maajabu: Twalaumiwa siye badala ya waliomfunga?

    Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa w South Africa wote wangekaa jela kama Mandela ili kuonesha uchungu wao. Lazima mmoja au wawili wawakilishe.
  13. Ta Muganyizi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Roho ilikuwa inauma sana
  14. Ta Muganyizi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vijamaa vimebana mwisho vimeachia aisee
  15. Ta Muganyizi

    Tanzania: Tunahitaji Ugaidi wa kweli ili tuweze kutofautisha na wakina Mbowe?

    Yaa maana wale ingekuwa Ugaidi kweli wangesapoti vya kutosha. Sasa nashangaa wao ndo wanasema gaidi aachiwe.
  16. Ta Muganyizi

    Tanzania: Tunahitaji Ugaidi wa kweli ili tuweze kutofautisha na wakina Mbowe?

    Kwa kweli nashangaa. Ilibidi nikamue madesa mengi na kuona report za wenzetu waliona dalili zipi kuona dalili za Ugaidi. Mengi yanaingiliana na hayo. Nikiyalinganisha na kinachoendelea kwetu nasikitika sana. Kinachonisikitisha ni ile kuonekana mbele ya mataifa mengine kuwa sisi ni viazi.
  17. Ta Muganyizi

    Tanzania: Tunahitaji Ugaidi wa kweli ili tuweze kutofautisha na wakina Mbowe?

    Yaa kana kwamba wanafurahia tukio kumbe ni kuja kutuchora na kutucheka tu.
Back
Top Bottom