Ni kweli ndivyo inachukuliwa. Ingekua vema kama jamii ingetambua hizi aina za personalities na kuwaelewa watu kwa jinsi walivyo. Mimi ni mhanga wa kuambiwa naringa, najitenga etc
Ndugu utu wako una walakini. Mke amekupatia mtoto! Ndio sababu ya michirizi malipo yake ni wewe kumkinai na kuchepuka! Haki neno kumkinai pia ni baya sana ulivyolitumia kwa mkeo kwa sababu hiyo! Hujachelewa kujirudi na kumuomba Mungu akusamehe kwa mawazo na nia hiyo
I see. Umeandika vizuri sana ndugu na umeeleweka. Ubarikiwe kwa kuchukua initiative. Natumaini masheikh watapita na kusoma au kutumiwa huu ujumbe. Na hali hii sio huko tu, bali na sehemu nyingine nyingi tu. Allah ndie mjuzi wa yote
Tofautisha soya na maharage ya soya. Picha ya kwanza hiyo ndiyo soya yenyewe yenyewe. Ina nutrients nyingi sana muhimu kwa afya, zaidi ina protein nyingi sana, (zaidi ya mikunde aina zote) yani equivalent to meat. Zao hili hulimwa sana sehemu mbalimbali duniani. Soya baada ya kuvunwa huweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.