Elimu ni muhimu sana . Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelimika sasa watu wengi wanaangalia kasoma hadi level gani lakini si mtu ana uelewa gani.DINI nayo ndio msingi wa ndoa hakuna ndoa bila ya dini kwahiyo mume anaweza kufuata dini ya mke au mke akafuata dini ya mume hapo ni maelewano yao.
Sisi hatuna waziri mkuu,umeona jinsi huyo mzee alivyoropoka mjengoni juu ya issue ya Arusha?Tangia siku ile alipojibu utumbo wa bata nikamtoa ktk thamani yake.Yeye hana shida sisi tuhangaike kivyetuvyetu.
ccm wanaandamana kuunga mkono hotuba ambayo haina mvuto,JK ktk hotuba zake anadesa hadi nukta hana uwezo wa kuongeza mambo yaliyo ya msingi ,akishaandikiwa na Janury Makamba anaisoma kavukavu ndo maana hotuba zake hazivutii kusikiliza.Waandamane kwa unafiki wao na polisi wawlinde jamaa zao ila...
Mwevitinyekiti wa Halmashauri akiwa fisadi anao uwezo mkubwa wa kumshawishi Mkurugenzi na wakaiba mamilioni ya shilingi,ndio maana huku mikoani tunawaona wenyeviti wakijenga mahekalu na kununua magari wakati hawana mishahara ya kueleweka.Hilo la Mwanza linawezekana kwani Meya anao uwezo wa...
TUOMBE:
Ee KIKWETE uliye tufilisi, jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu, utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote mahakamani, uwalipe wastaafu pesa zao,CCM ianguke kwenye uchaguzi ujao kama wewe unavyoanguka majukwaani,usiwalipe DOWANS kama vile unavyofikiria AMIN...
Modem hata moja inaweza kukupa speed ya kutosha ila sasa inategemea upo ktk category gani ya malipo ya hiyo kampuni unayotumia,mfano data week ya airtel inakupa 3GB,Data siku 20MB,kwa ujumla mwenye data week atapata speed kubwa kuliko data siku ok?
ILETE ILA UJE NA SH 50,000/= au mpelekee IT technician aliyeko karibu nawe
hata ukiwa na CD ya XP usijaribu kurepea unaweza ukaharibu kabisa:A S thumbs_down:
Kila mtu kazaliwa na kipaji chake , unaweza ukasomea uhasibu ukajafanya kazi ya kuzoa taka, au kumbe wewe ni mpaa samaki feri.Ingizeni majina yenu kwenye hiyo excel then mtajua kazi zinazowastahiki.
Wana JF habari za weekend,hivi inakuwaje taasisi au shirika linatangaza nafasi za kazi halafu wanaweka kitu wanaita AGE LIMIT yaani kuna umri ukiwa umezidi hapo usiombe.Zaidi wanapenda not more than 35 yrs,sasa wanaosoma wakiwa over 35 waende wapi?
Bacha si kila dawa ya asili ni ushirikina: Kwanza ujue kwamba hakuna kitu ushirikina ila hao wadhungu wako ndio walio tulet down,ukihara siku moja kunywa maji ya madafu hiyo ni drip original,ukishikwa na upele au fangas kaogelee baharini kama masaa mawili hivi(siku moja nilienda Mnazi mmoja...
Kaka Kiiza ukilikata haikatiki,maana ya kulikata ni kwamba umeridhika na ile size ili isiendelee kukua shauri yako ukiliacha maana si unalijua dodoki lilivyo!Wala hakuna ndumba hapo!
Mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).Kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.