Search results

  1. K

    Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

    Mi nikiwa bwege basi wewe utakuwa fisi, maana palipo na mnyama mfu ndipo fisi wakusanyikapo nikimaanisha kuishabikia CCM na utawala wake ni sawa na fisi walokusanyika kusibiri minofu ya mnyama mfu
  2. K

    DED Manispaa ya Morogoro mbona Devotha Minja ulimuweza, unashindwa nini kupambana na mchwa wala rushwa za leseni za biashara?

    Kwa sasa hakuna kusumbuana maana walobaki wote ni ndg wa damu maana wapo ndani ya chama kimooja hivo kila mwenye nafasi ale kulingana na nafasi yake
  3. K

    TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Nahisi Kenya wanatupita mbali sana kwa mambo na sera ya utaliii,na ndo mana idadi ya wageni kule kwao kabla ya korona walikuwa wanatupiga fimbo,hivi vijikodi visivyokuwa na mbele wala nyuma vitapeperusha wageni. Subiri uone
  4. K

    Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

    Wewe kinakuuma nini,kama nchi inaendeshwa kwa misingi ya usawa na haki?. Kama ni wawekesaji pia wana macho na akili ya kuchambua ngano na pumba,haupaswi kuwa na hofu kiasi hicho. Hofu yako inanithibitishia kuwa hakuna usawa wala haki katika nchi yetu
  5. K

    TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Mm naona kuna shida kubwa ndani ya serikali,siku watalii wakikimbia asilaumiwe mtu kuwa ndo anaichafua taswira ya nchi huko nje,maana kama kodi hiyo itatolewa na wenye mahoteli ,hapo tutegemee wamiliki wa hoteli pia kupandisha entry fee katika hoteli na pia na gharama nyingine kuwa juu lengo...
  6. K

    TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Kwa mwendo huo,tutegemee hata na wananchi kuja kulipia kile kitanda anachokilalia nyumbani kwake,kama kodi ya ardhi tunalipia kama wenye mahoteli,kama wao watalipia kitanda kwa nini mwananchi wa kawaida naye asilipie?
  7. K

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Nadhani shida ni mgonano wa kimaslahi ndo unaotesa taasisi na miradi mingi hapa nchini,kutakuwa na wakubwa wana shule yao huko Arusha na wameona St.Jude ni tishio kwa uhai wa shule yao,hivo wafanye figisu kuifungia lengo shule yao ipate wateja,wanamadai ya kodi,kama ni kodi leo ndo wameiona...
  8. K

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Hilo jambo lipo na liko njiani,madaraka ni matamu sana,alikuwa anajisemesha mbele ya umma kwenye kampeiinii ili aonekane mtu mwema anyefuata katiba kumbe ni sifuri,Wakirsto mna shida sana kwenye madaraka ,na huu wimbo umeimbwa na wakiristo sijui watawala wenu wasali wapi AMBWENE KAIMBA WIMBO WA...
  9. K

    Hongera sana RC Simiyu Ndugu Anthony Mtaka, wewe ni kiongozi kweli

    Walimu hoyeeeeeee,huu ni uthibitisho kuwa mad Merciana alikuwa na maadili mema katika kulea watoto,walimu wengine igeni kwa mama yake na Antony
  10. K

    Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

    Mambo mengine kama ni kweli yanakera sana. Ukimwi kwenu Matetemeko kwenu Ebora kwenu,kila baya kwenu,ninyi mna mkosi gani,maneno kama haya ya chooni ndo yanaigarimu cCm bukoba msitafute mchawi.
  11. K

    Uchaguzi 2020 Kigoma: Viongozi watano wa CHADEMA mbaroni kwa kukutwa na kadi 14 za mpiga kura

    Hapo kuna maswali mengi yasiyo na majibu. Pindi polisi wanapokuja kupekua kwako ni sharti wao kukaguliwa kabla ya kuingia kupekua,kwa wananchi wengi hawajui huu utaratibu hivo kama polisi wana mission yao ni ngumu kwa wananchi wengi kufanya hivo,hivo kujikuta wameingia kwenye mtego. Endapo...
  12. K

    Uchaguzi 2020 Je, tunaafiki hili suala la kutokupiga kura? Lilitolewa na mgombea wa CHADEMA?

    Kama mawakala wako hawataapishwa kwa mambo ya ki.....nge ya nini wanachama wako wakapige kura wakati kwenye chumba watabakia CCM? Atakaye enda kuilinda kura yako ni nani?. NAUNGA MKONO HOJA KAMA AMEPATA MAONO HAYO
  13. K

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

    Alidhamiria kutoleta maendeleo kutoka sirikalini,bali yaliyofanyika ni kwa ufadhili toka nje au ndani au misaada ambayo inatoka ikiwa imetaja eneo husika. Alidhamiria utalii unakufa katika kanda hii,ila hapa alisindwa pakubwa maana eneo lenyewe kila kona ni vivutio vya utalii, na haya yote watu...
  14. K

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

    wewe jamaa ni mku......du kabisa, yaani hapo ulipo hujui kuwa adui namba 01 wa hii kanda ni Maufuri? . Alidhamiria kutoleta maendeleo kutoka sirikalini,bali yaliyofanyika ni kwa ufadhili toka nje au ndani au misaada ambayo inatoka ikiwa imetaja eneo husika. Alidhamiria utalii unakufa katika...
  15. K

    Uchaguzi 2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

    Fundisho kwa mjinga ni taabu,taabu ikiwa kubwa akili itawakaa,nashauri jiwe akirudi ikulu,aendelee kufanya maisha kuwa magumu na magumu ili wananchi wapate shida kubwa kubwa ili wapate fundisho. mkiona taabu na kila kona ya nchi watu wanalalamika mjue kumekucha hapo ndo utakuwa mwisho wa ccm
  16. K

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Japo atashinda, ila bila kummnya maneno,jamaa kawafanyia uhuni sana watumishi wa umma,,miaka mitano hakuna increment na wengine they started a job at once ila mmoja yuko daraja lingine na mwingine nyuma ya mwingine kisa watumishi hewa utandhani ndo waliowachomeka hao watumishhi hewa,Magufuri...
  17. K

    IGP Sirro: Si kazi ya askari kusema huyu atashinda ama hatashinda, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa askari wetu tukibaini makosa

    Nahisi huyo afande atakuwa ametoboa siri iliyo sirini kabla ya wakati, labda atakuwa amesema hivyo kwani huenda walishakaa na kujadili ama kupewa jukumu hilo la kuhakikisha Mbowe hashindi
  18. K

    Mjue mzee aliyetabiri kuja kwa wakoloni na utawala

    kuna watu wabishi humu nd yangu VON,mimi nilikaa huko nikapenda kujua maana ya mjee ndo hayo pi yakaibuka
Back
Top Bottom