Search results

  1. A

    Nguvu ya umma: Eric Shigongo azomewa ashindwa kuzungumza

    Hiyo ya kukalia poti Mnh! imeniacha hoi!!!!!
  2. A

    Mufti ataka Waislamu kuwekeza katika elimu zaidi

    Naunga mkono kauli ya Shehe mkuu sio yule wa kambi isiyo rasmi (Basaleh) ambaye kazi yake kubwa ni kulalamika tu na kupandikiza chuki dhidi ya ukristu. Waislamu wenye akili tafakarini kisha chukueni hatua.
  3. A

    Inflammatory: CHADEMA hawako kwa maslahi ya taifa, they are just another tool

    ...naomba wanaJF mnikumbushe hoja japo moja iliyo nzito iliyowahi kutolewa na cuf, hata cuf ilipoongoza upinzani sikumbuki mbunge wao hata mmoja aliyewahi kutoa hoja nzito zilizogusa hisia za wananchi kama za akina Dr Slaa na zitto. wengi wanatoka Zanzbar kuja kula posho tu. wao ukitaka...
  4. A

    Askofu awaasa Watanzania kumwombea Rais Kikwete

    Hivi huyu Bishop anajua EPA, Deepgreen, Meremeta, Tangold, Kagoda, Rada, kiwira, Dowans na Richmond zingejenga majengo mangapi? Mi nadhani wakristo tumwombe Mungu aingilie kati wizi huu wa fedha zetu kabla ya kuanza kumuombea huyu jamaa ambaye anajijua ni dhaifu lakini bado anataka kutuongoza na...
  5. A

    Serikali yatoa Tumaini Mahakama ya Kadhi

    Nilisikia kuwa mahakama ya kadhi ni ibada kwa mujibu wa koraan, sasa kama hiyo ni kweli naomba wataalamu wanijulishe tatizo liko wapi?. mbona katiba inatoa uhuru wa kuabudu? ni lini serikali imewazuia waislamu kufanya ibada yao?. kama kweli serikali inawazuia waislamu kufanya ibada yao nadhani...
  6. A

    Elections 2010 Ng'jhili avunja ukimya, na kusema 'CHADEMA in struggle for independence'

    Pole Mzee!! nimefurahi kukusikia maana nilisoma tu kwenye magazeti na bahati mbaya hayakufafanua ni tusi gani. Nadani sasa ni kujiweka sawa kwa maandalizi ya 2015.
  7. A

    Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

    Ni kweli Zitto ana record nzuri, isipokuwa binafsi moja ya jambo lililonifanya nianze kumtilia mashaka kidogo ni pale alipotaka tununue mitambo ya wale matapeli wa DOWANS. Hiyo ilinishock na kunipunguzia imani kwake kwa asilimia nyingi sana, kwa sababu kwa upeo wa Zitto, mpaka leo sijaelewa...
Back
Top Bottom