Search results

  1. J

    Huawei g510

    nimekusoma kaka. Pamoja sana..... Na kwa smartphone betri ni common problem. Sizani kama kuna smartphone unaweza kaa online hata 4 to 8hours
  2. J

    Huawei g510

    vp kuhusu betri na speed ya net kaka? Vp bei yake, coz kuna jamaa nataka aniuzie ni mpya kabisa
  3. J

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    Pc - police constable cpl - coplo sgt - sagent ssgt- staff sagent MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE A/INSP- Asistant inspector * insp- inspector ** ASP - Asistant superitendent*** SP - superitendent(bib &bwana) SSP - senior superitendent ACP- Asistant commisioner SACP - Senior...
  4. J

    Huawei g510

    Jaman msaada kwa anaeijua huawei G510.. Vp kuhusu internet yake na ubora wa simu yenyewe
  5. J

    Huawei G510

    Jaman msaada kwa anaeijua huawei G510 smartphone. Vp kuhusu quality yake na internet speed
  6. J

    Nahitaji kununua noah

    kaka mbona nimeangalia cheki.com ila sijapata ya uwezo wangu
  7. J

    Nahitaji kununua noah

    uwezo mdogo ndugu ndiyo maana nikatangaza kilichopo
  8. J

    Nahitaji kununua noah

    hapana ndugu yangu lengo ni noah. Thanks
  9. J

    Nahitaji kununua noah

    nina 7 mkuu
  10. J

    Nahitaji kununua noah

    hapana ndugu mi nahitaj old model kuna hitaji linaihusu hiyo nasio latest
  11. J

    Nahitaji kununua noah

    thanks for your understanding bro. Kwanza hajaelewa hata nainunua kwamatumizi gani.
  12. J

    Nahitaji kununua noah

    nitakupigia kaka
  13. J

    Nahitaji kununua noah

    Kama heading ilivyo. Nahitaji kununua noah nina 7m.
  14. J

    Nahitaji kununua noah

    Kama heading ilivyo. Nahitaji noah nina 7m.
  15. J

    Mohamed Trans laua Polisi watano!

    hiv deo si yule store keeper b coy? Jema na jack walikua coy gan? Na ww mkuu? Mi nlikua kwa mmarekan
  16. J

    Wanasiasa wanapokuwa na mamlaka makubwa zaidi ya wataalam(professionals)

    mkuu wa wilaya form four anawafokea na kuwaongoza graduates kibao (wagavi,wahasibu, tecnicians etc) na kuna jamaa yangu ni graduate aliingia wizara ya mambo yandani kama computer engineer,post wakamtupa wilayani na saiv anamlinda DC ambaye namjua ni form six mwanasiasa. Hata mimi inaniumiza...
  17. J

    Stamina,One incredible,Stereo na Songa

    unajua sana....... Nadhani stamina si wakumfananisha na hao wengine walotajwa hapo. Uwezo wa stamina na style yake haiendani na ni chini sana kwa one,songa,stereo,mbishi,chata,p the mc..
  18. J

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    namm npo manyara ndugu yangu nimeona mawakala wa azam tv sehem nadhan nitanunua this week. Je wana radio stations?
  19. J

    Tatizo la yahoo

    ni kweli.... Gmail haisumbui hata kidogo na hilo tatizo sio peke yako ymail inasumbua wengi sana. Gmail+airtel=stressfreeworld
  20. J

    Kufanya kazi serikalini vs kufanya kazi sector binafsi.

    sidhan kama kuna ukweli hapo! Mshauri mtu kitu ambacho kipo kwa mifano ya ukweli,kwann udanganye? Nionavyo mimi serikalini nenda kama unataka freetime na kutobanwa ili ufanye vitu vyako lakini maranyingi utategemea mshahara tu. Private nenda km untaka kukuza professional na experience...
Back
Top Bottom