Search results

  1. lup

    kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  2. lup

    Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

    Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja, Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa...
  3. lup

    Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Happy new December 2020 month, Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia tayari tegemea swali taja hapo juu. Kuwa unafanaya kazi gani naikitokea ukataja wewe ni mzibua...
  4. lup

    Kwa wale ambao watakuwepo Nanenane Mwanza 2020 tupeane uzoefu na biashara na utauza nini

    Habari za asubuhi, Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa...
  5. lup

    Najuta kuja bar ambayo wahudumu wake wananifaham

    Za usiku huu Wadau Basi mimi huwa nafunga kazi mida ya saa tano usiku. Na leo nipo pekee yangu ndani maana huwa naishi na dogo wangu wa kiume hivyo baada ya kazi huwa tunakuwa sebuleni tunapiga story kiasi ndio kila mmoja anaeda kulala. Chumbani kwake Baada ya kufunga nikaona nije hapa bar moja...
  6. lup

    Nahitaji rafiki wa kike/mpenzi/mchumba/mke

    Za mda huu Wadau wa jf. Niko mwanza Nina miaka kati ya 28 hadi 32 Ninahita mtu(mwanamke) ambaye anamaanisha kama nilivyoandika hapo juu . Siamini katika kuandika mamho mengi hapa ila kwa atakayekuwa tayari sio mbaya tukaanza mawasiliano na kuona namna ya kuboresha mawasiliano 0784049216
  7. lup

    Ile karatasi ya KONDOMU iliyotumika, sijui ilitumikaje mle HOSPITAL.?????

    Katika pitapita za mwanadau, kuugua/kuumwa ni sehemu muhimu sana ya maisha ya mtu. Kudhihirisha hilo, endapo kama mtoto hajaugua mda mrefu utasikia watu wakisema mtoto asiyeumwa sio mzuri maana siku akiumwa itakuwa shida kubwa. Vivyo hivyo hata kwa mtu mkubwa Siku za nyuma nilizidiwa sana na...
  8. lup

    Mdada au mmama wa kuchat naye.

    Niko boadi(bored) usiku hapa na nimekosa pa kwenda hivyo nahitaji jinsia tanjwa hapo juu japo uje PM tubadilishane mawazo. Sichagui umri wala kabila na ikitokea labda unaishi mwanza au unakaribia kuja mwanza itakuwa vizuri zaidi. Lakini kama uko mwanza mda huu.. huwezi jua labda tunaweza toka...
  9. lup

    Bei za vinywaji kushuka soda na bia. Hizi fununu ni za kweli.?? Anayejua atujulishe.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
  10. lup

    Kwa Walioko ZAMBABWE; WATUAMBIE HALI INAVYOENDELEA HUKO JUU UCHAGUZI WAO

    Naamini JF ni kubwa na imevuka mipaka sana... hivyo kwa wale walioko huko ZImbabwe sio mbaya wakatuambia nini kinaendelea huko
  11. lup

    Hivi kama ungekuwa jinsia tofauti ya uliyoayo, ungefanya nini ambacho wao hawaitendei haki jinsia hiyo?

    Hi, za mda huu jamani hapa Niende kwenye mada. Sio rahisi sana kukuta mwanaume anasema 'kama nigekuwa mwanamke nigefanya hivi na vile kwa mwanaume' lakini siku moja nilikuwa kwa mshona nguo mmoja mwanaume, ile katika kuongea akasema endapo kama angekuwa mwanamke basi angehakikisha kila...
  12. lup

    Wale waliotumwa kutogoza/kuomba msamaha/ kwa niamba ya mpz wake halafu wakajimilikisha wao, mje

    Za mda huu. Sasa kuna wale watu ambao huwa wanaitwa marafiki wa kuaminika au mtu wangu wa karibu... yaani haumfichi kitu na mara zote huwa wanajitoa kuhakikisha rafiki yake anakuwa na furaha. Lakini katika harakari hizo huwa inamlazim kutumwa kwa mpz wa rafiki yake ili kuweka mambo sawa na...
  13. lup

    Msaada, nini tatizo la kuchelewa au kutopizi kabisa kwenye tendo la ndoa

    Za mda huu jamani hapa, Hili naweza sema ni tatizo kwa njia moja au nyingine.. Nimejikuta nakuwa nikikutana na baadhi ya watu sio wote ninaokutana nao, huwa nashidwa kabisa kumaliza. Sasa huwa naona kama mpz wangu haridhiki hivi maana nilichogundua pia kwa hawa dadaz nao furaha yao ni...
  14. lup

    Kweli ndoa za siku hizi ni kukaza moyo tu na kusamehe ili maisha yaende!!!

    ZA mda huu mwana GT. Niende kwenye Mada.. ukweli ndoa za siku hizi ni tofauti kabisa na za zamani. Kwa sababu zamani waoanaji walikuwa wanakutana wakiwa bado hawajui chochote na wengi Wao ndio walikuwa wanaazana wao kujuana hata kama atakuwa ameshaanza basi sio kwa watu wengi kama kizazi cha...
  15. lup

    Dharau za siku za harusi ukijua unaweza andika taraka ukiwa meza hapohapo

    Ni ukweli usiopingika kuwa siku hizi watu wengi tunaoana tukiwa tayari tumepitia mahusiano mengi ya nyuma... Na kwa sababu hiyo ni ukweli kuwa watu wengi wanaoana si kwa sababu anampenda sana muoaji au muolewaji ila ni kwa vile huyo ndio amefikia tu wakati wa kuoana naye... Kwa vile...
  16. lup

    Hongera wanawake wa makamo kwa kurahisisha mahusiano na kuwa wakweli

    Hii ni kwa wale mama watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 na zaidi. Nawapa pongezi kwani wanajitambua sana na wanawarahisishia wanaume kazi. Hawa wamama wengi wao walishajikubali kuwa hakuna mahusiano ya kudumu ila ni starehe na kuvuta masaa tu hivyo hawawekezi sana kwenye mapenzi. Unakuta...
  17. lup

    Tujadili changamoto na namna ya kuwa na mahusiano na mwanamke wa hadhi(classic) ya juu zaidi ya mwanaume

    Za siku nyingi hapa GT Huwa inatokea mara kadhaa wale vijana wanaojiamini kujaribu kumtokea mdada au mmama mkali wa hadhi fulani. na kama zari mwanamke huyu anakubali kuwa manaweza kuwa wapenzi. Na kwa vile huenda umeonana mda mchache na haukumsoma vizuri, baada ya kuanza mahusiano unagundua...
  18. lup

    Serikali kuongeza kodi kwenye vitu vya nje, ni kuboresha bidhaa za ndani au ni kudumaza?

    Mara nyingi nimekuwa nikifatilia juu ya bidhaa kutoka nje lakini pia na ubora wake pamoja na bei zake kulinganisha na bidhaa za ndani Sambamba na hilo pia nimefatilia namna serikali inavyotetea viwanda vya ndani ukilinganisha na ubora wake. Kwa vile nafanya kazi ya kuuza na kununua bidha hivyo...
  19. lup

    Unapoweka malengo kuwa na msimamo kama simba anayekimbiza mawindo

    Za mda huu wadau JFGT, naamini mko vizuri na siku mnaimalizia kwa amani Niende kwenye mada; Katika utafutaji wa maisha hasa pale unapoamua kujikwamua kimaisha na hali bado uko chini sana na haujui utaanzaaje hata kama una mawazo mengi ya kuanzisha jambo/kitu au mrandi fulani. Mara zote...
  20. lup

    Nini sababu ya kutofika kileleni mwanaume unapokuwa na baadhi ya wanawake, kwenye mapenzi?

    Katika siku za hivi karibuni nimeanzisha mahusiano na mama mmoja ambaye tunaishi ishi naye majirani kiasi. Huyu mama tulishakuwa naye zaidi ya mara moja na mambo yalikuwa vizuri, lakini kuna siku alikuja usiku nyumbani kwangu nilimtaka anipe hiyo tamu. Cha kushangaza pamoja na juhudi zote...
Back
Top Bottom