Search results

  1. Dumelo

    Are you a single mother?

    I am Looking for a Single Mother who will be ready to be my future wife. I am also a Single father 34 of age, well educated and self employed. A single mother should have at least 25 - 30 of age, and a Christian. Please Let us hooks up "pm".. Note: For serious Single Mother Only.
  2. Dumelo

    Kadi tatu za njano alizopata Fakhi mchezaji wa Kagera sugar hizi hapa

    Duuh mkuu huu ukweli Mchungu sana. Utaliua jamaa linalopinga.
  3. Dumelo

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Nakubaliana na pia ninawaunga mkono wagombea wetu wawili yaani Wenje na Lau Masha, ila hili la kukiuka kwa makusudi kanuni na taratibu za Uchaguzi ni Uhuni. Sitaki kuamini kuwa hakukua na wagombea wengine mmoja au wawili na kufanya idadi yao wawe wanne au watatu kisha wakapigiwa kura. Huku ni...
  4. Dumelo

    GX 110 Grande Mark II For Sale 6.5

  5. Dumelo

    Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

    Mkuu Diamond ni Brand Ambassador wa GSM, so hayo ndo moja ya Majukumu yake. Siku nyingine Uulize kabla hujapost.
  6. Dumelo

    Bifu la Shigongo na meneja wa WCB

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa Mimi si Fani wa DIAMOND Isipokua napenda Muziki Mzuri anaofanya, Pamoja na Jitihada, Bidii na Discipline aliyonayo katika kufanya kazi zake. Sitaki kuingia kwenye Ugomvi au Maneno au Ushauri ambao Kaka yangu Eric Shigongo ameutoa kwa Managers wa Diamond. Hoja...
  7. Dumelo

    Meya wa Ubungo akabidhi mashtaka yake dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye tume ya Maadili

    Unakaa Goba gani ww isiyokua na Barabara, au unataka Ujengewe Barabara Mpaka Mlangoni, Kuhusu Maji Dawasa wameshatoa mwongozo nenda serikali za mtaa wako jaza fomu kisha peleka Dawasa.
  8. Dumelo

    MATENDO MAOVU YA RC NA UPOTOSHAJI.

    Kumekuwepo na mtazamo wa kitoto sana kwa watu wanaosapoti Maovu anayoyafanya RC wa Dar es Salaam, kwamba wanaompinga kwa matendo yake, kwamba ni wale wanaouza au kushirikiana na wauza madawa ya kulevya. Hii si kweli Kabisa, wote tunapinga kwa Nguvu zote Biashara hii ya Madawa ya kulevya, Ila RC...
  9. Dumelo

    Huyu ni nani akiwa na RC Makonda?

    Huyo ni Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula.
  10. Dumelo

    Sakata la Clouds media lina baraka?

    Nimejikuta nawaza mbali sana, kama Mh Rais ambaye alikua kila mara akipiga simu CloudsTv na kupongeza mara kwa mara, baada ya tukio la uvamizi, mpaka sasa sijaona Mkuu akipiga simu hata kutoa pole kwa kilichotokea. Je, ni kweli haoni au ameziba masikio kwamba hili ni tukio la kawaida kabisa...
  11. Dumelo

    Mwenye updates za LAPF na WCF

    Mtihani ulikua ni mmoja mkuu
  12. Dumelo

    Nape anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Uchunguzi dhidi ya Presidential Appointee

    Naomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini ya mfumo uliyopo nje ya Serikali.
  13. Dumelo

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Zamani walikua wanapata Mkuu. Fa fa fa fa zako zote wanakupa na cheti.
  14. Dumelo

    RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

    Kwa Mara ya Kwanza nimeanza kuamini kuwa JF ni Mtandao Makini Kabisa, Mimi ni Mfanyakazi wa Clouds Media Group, Nipo Marketing department. Mwanzo Tulikua tumezuiwa kueleza Ukweli wa Hili Jambo, lakini Kutoka na Maadili ya Uandishi imebidi wakuu wa Idara waruhusu lizungumzwe, Leo Asubuhi Karibu...
  15. Dumelo

    Mwenye updates za LAPF na WCF

    Leo ndo Ilikua interview ya WCF tumefanyia DUCE na wengine walikua IFM. Hii ni written Interview.
  16. Dumelo

    Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

    Kama nilivyowahi kufikiria huko Nyuma kwamba Masha aliingia kama Options ya Lissu, kwamba ikitokea Lissu akafanyiwa Figisu basi yeye aweze Kuchaguliwa, Leo yametimia, Hatimae Masha amejiengua na kuwaomba team yake yote wampigie Kura TLS "Tundu Lissu Sasa".... Kama nawaona nawaona....
  17. Dumelo

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Mkuu tunawahitaji wote, Awe Marsha au Lissu, kwahiyo Tuliza Mshono
Back
Top Bottom