Search results

  1. Dr Matola PhD

    Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  2. Dr Matola PhD

    Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

    Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu. Jitafakari. Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
  3. Dr Matola PhD

    Watanzania hata kama hatuna elimu tujihadhari na tujifunze namna nzuri ya kutumia hizi Social Media, huyu amezinguwa

    Inasikitisha Sana, hii ni thread inawahusu wasafiri, kama wewe si mtu wa safari skip pls. Kuna mjinga mmoja Mtanzania New York Kwa kujuwa au kutokujuwa au kutafuta umaarufu kunuka anataka kuleta shida kubwa Sana. EBM Yuko very smart, anafundisha njia halali za kuingia Marekani na kufanyakazi...
  4. Dr Matola PhD

    Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  5. Dr Matola PhD

    CDF Mabeyo amepasua masikio yetu, pata madini ya Askofu Bagoza

    CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu. Nimewahi...
  6. Dr Matola PhD

    Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

    Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife. Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na...
  7. Dr Matola PhD

    Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Strong leader. Ujumbe wa Lissu: Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS. Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
  8. Dr Matola PhD

    Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha. Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema Watanzania hawana furaha. Kwahiyo Wananzengo mpaka Rais anajuwa Watanzania tunaishi kama tupo jela...
  9. Dr Matola PhD

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  10. Dr Matola PhD

    Nimepita Instagram account ya Fiston Mayele kuna kitu sikielewi naomba nielimishwe

    Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo. Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja. Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
  11. Dr Matola PhD

    Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

    KALENDA NYINGI DUNIA MOJA 1. Kalenda ya Gregorian 2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia) 3. Kalenda ya Ethiopia 4. Kalenda ya Kiyahudi 5. Kalenda ya Kichina 6. Kalenda ya Hijira 7. Kalenda ya Kiajemi 8. Kalenda ya Kijapani 9. Kalenda ya Julian 10. Kalenda ya Buddha 11. Kalenda ya...
  12. Dr Matola PhD

    Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

    •Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego. • Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu. • Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha...
  13. Dr Matola PhD

    Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  14. Dr Matola PhD

    Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  15. Dr Matola PhD

    Hebu tuambizane, hospitali binafsi zimeanza mgomo baridi Kwa wanaotumia Bima za NHIF?

    Leo nimepeleka mtoto kwenye dispensary Jirani ambayo NHIF insurance accepted, cha kushangaza kufika reception naambiwa vitabu vya Bima vimejaa wanatibu Kwa cash tu. Sasa nauliza hii ni by coincidence au ndio wameamuwa kuwanyoosha NHIF kimyakimya Kwa style hii? Vipi wewe mtaani kwako...
  16. Dr Matola PhD

    Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    JF be the first to know, Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia. Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa...
  17. Dr Matola PhD

    Car4Sale Nauza Gari Kali, Jeep WRANGLER

    Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018. Registration T 127 CUA Make: Jeep Model: WRANGLER Body type: Station Wagon Colour: Green Year: 2018 Fuel: Diesel Price: 65,000,000/=
  18. Dr Matola PhD

    Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

    Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri? Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada. Basi kufika mlangoni...
  19. Dr Matola PhD

    Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

    Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
Back
Top Bottom