Kilichonishtuwa Mimi kumbe ingewezekana leo Ndugai ndio angekuwa Rais?
Mungu anaipenda Sana Tanzania ni heri ya huyu mama kuliko nchi ingekabidhiwa Kwa machawa, huyu Ndugai kuna kipindi alihamia Chato kabisa.
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia. Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu.
Nimewahi...
Ndio maana Magufuli alikuwa uchumi, yeye kila kitu Jeshi, ujenzi Jeshi kampuni za ujenzi zinakufa, ulinzi Jeshi Suma JKT, kampuni binafsi zinakosa malindo yenye malipo bora.
Magufuli alitamani Hadi Taifa stars iwakilishwe na Jeshi, lakini ajabu Jeshi lilishindwa kutii Amri ndogo tu ya kwake...
Jezi siyo hoja ya kuthibitisha ni Tanzania, Yanga ina matawi mpaka Lubumbashi Congo, ina mashabiki Kenya, ukienda Jimbo la Cabo Delgado Mozambique kuna mashabiki wa Simba na Yanga.
Hili darasa linawahusu zaidi waislamu maana wengi hawana ufahamu na hiki ulichoandika hapa.
Mtu anakula daku ya Biriani Saa 11 sasa huwa najiuliza hapa watu wanafunga kitu gani?
Bashe anawachota akili watu kama wewe, kitu usichohitaji hakiwezi kuletwa nchini kwako.
Hizo ni aid and grants tumeomba wenyewe.
Tulivyokuwa wadogo nursery school tulikuwa tunakunywa uji wa buruga bure kutoka Kwa hawahawa mnaowabeza Leo.
Nimemsikia Leo Mabeyo anasema kabla ya Magufuli kukataa roho aliitwa Mzena akaambiwa Hali mbaya, Magufuli naye akamwambia Mabeyo wewe ni CDF waamuru haw wanirudishe nikafie nyumbani siwezi kupona.
Baada akaomba aitiwe paroko wake wa Saint Peters oysterbay na Kardinali Pengo.
Baadaye ya kukata...
Issue kubwa NI virutubisho, mbona forever living na GNLD product zao ni za virutubisho? Kuna wakati nashindwa kuelewa watu na akili zako wanashindwa lessoning ndogo tu.
Unayepotosha ni wewe kuleta picha iliyopigwa Darfur na photographer wa South Africa.
Njaa ya Tanzania ilitokana na nchi kuingizwa kwenye vita ya hovyo Kwa sababu ya Nyerere kumpa hifadhi Obotte ili ampinduwe Idd Amini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.