Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Madiwani nane (8) wanawake wa viti maalum kujaza nafasi wazi za madiwani katika Halmashauri nane (8) za Tanzania bara.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage amesema uteuzi huo umefanyika...
Katibu Mkuu wa CDM Dkt. Vincent Mashinji akizungumza na vyombo vya Habari alisikika akiitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu kutotenda haki kwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kuelekea Uchaguzi mdogo utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Kufuatia malalamiko hayo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa...
Wakuu habari za majukumu,
Nimeipata taarifa hii iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi - NEC na kusainiwa na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan ikimtaka Kaimu Mkurugenzi wa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Paul Mikongoti aombe radhi kufuatia shutuma 3 alizozitoa dhidi ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistolces Kaijage amevitaka vyama vya siasa kufanya kampeni kwa kuzingatia maadili ya Uchaguzi.
Jaji Kaijage ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa NEC na vyama vya siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelekea Uchaguzi mdogo wa...
Ufafanuzi wa NEC kwa Waandishi wa Habari na umma kwa ujumla kuhusu kampeni za uchaguzi mdogo baada ya kufanyika kwa Mkutano kati ya NEC na Vyama vya Siasa jana. Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani anasema kampeni za uchaguzi ziendeshwe kwenye kata zenye chaguzi na si vinginevyo!
PART I...
Kufuatia Mbunge Lazaro Nyalandu kutangaza kuhamia CHADEMA na kuachia nafasi yake ya Ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kumekua na maswali mengi juu ya nafasi wazi ya jimbo lake na nini kitafuata, NEC kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uchaguzi Kailima Ramadhani imetoa ufafanuzi huu wa kisheria!
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU WALIOTEULIWA KUGOMBEA UDIWANI KATIKA KATA 43 ZITAKAZOFANYA UCHAGUZI MDOGO TAREHE 26 NOVEMBA, 2017
Tarehe 26 Oktoba, 2017, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilifanya Uteuzi wa Wagombea Udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo katika Kata 43 zilizopo kwenye Halmashauri 36 za Tanzania...
Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Leseni za udereva, Hati za Kusafiria na Vitambulisho vya Taifa vitatumika kwenye uchaguzi mdogo wa Madiwani wa Kata 43, utakaofanyika Novemba 26 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ramadhan Kailima amesema wapiga...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaagiza wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi mdogo wa Madiwani katika Kata 43 kuhakikisha kuwa wagombea wote katika uchaguzi huo wanatoa tamko la kukiri, kuheshimu na kufuata maadili ya uchaguzi.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Bw. Ramadhan Kailima...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji (R) Semistocles Kaijage amewataka wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa madiwani kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ili kuepuka kuisababishia serikali hasara.
Jaji Kaijage ameyasema hayo leo (Tarehe 15.10.2017) mjini Dodoma wakati...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bw. Kailima Ramadhan amewaasa wadau wa uchaguzi kuhakikisha kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika katika Kata 43, Novemba 26 unafanyika kwa amani na utulivu.
Bw. Kailima ameyasema hayo leo (Jumamosi) mjini Dodoma wakati wa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 utafanyika Novemba 26 mwaka huu.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu...
Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani azungumzia yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Msikilize hapa akiwa katika mahojiano na mwandishi wa Gazeti la Raia Tanzania.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) ,kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Hindu Hamisi Mwenda aliyefariki dunia Septemba 1, 2017.
Akizungumzia uteuzi huo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza orodha ya majina ya Madiwani 12 Wanawake wa Viti Maalum walioteuliwa kujaza nafasi wazi katika Halmashauri mbalimbali.Akitangaza majina hayo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw.Kailima Ramadhani amesisitiza kuwa uteuzi wao umezingatia Kanuni, taratibu na...
Ndugu wanajamvi ni vyema tukaendelea kuelimishana juu ya mambo yanayofanyika Siku ya Uchaguzi nchini Tanzania na hapa nazungumzia Uchaguzi Mkuu au Uchaguzi mdogo. Fuatana nami katika Mada hii ya utaratibu unaotumika kuhesabu na Kujumlisha Kura Siku ya Uchaguzi.
Kwa mujibu wa Sheria ya Taifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.