Inaonekana umeamini hayo maneno ushauri wa Bure ungana na mtoa post muende mahakamani mkafungue kesi otherwise unabakia kuwa umbeya na majungu, Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuthibitisha na kumtia mtu hatiani, nenda mahakamani maadam Dkt. Kihamia yupo atafuatwa huko. Please nenda...
Tanzania tunahitaji viongozi wenye kufanya maamuzi kwa vitendo sio mbwembwe za majukwaani halafu utekelezaji 0. Miaka ya nyuma Arusha ilikua kama pango la wanyanganyi kila mtu ana ndevu, baba ndevu na watoto ndevu wakati huo umepita, sasa ni wakati wa kujenga nchi kwa kasi na uadilifu.Mtoa post...
Usishindane na muda utaumia!! kama unaweza kazuie wabunge wa upinzani kuhama otherwise acha Katiba ifanye kazi yake maana chaguzi ndogo zote huendeshwa kwa mujibu wa sheria.
Wadau habari za mchana, nimemsikia Mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema katika mkutano wake na waandishi wa habari akilalamika kuhusu chama CHAMA chake kupokwa ushindi katika jimbo la Ukonga na Monduli na akaenda mbali zaidi akisema ushahidi wote juu ya madai yake kuhusu uchaguzi huo anao wote. Sasa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Madiwani nane (8) wanawake wa viti maalum kujaza nafasi wazi za madiwani katika Halmashauri nane (8) za Tanzania bara.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage amesema uteuzi huo umefanyika...
Katibu Mkuu wa CDM Dkt. Vincent Mashinji akizungumza na vyombo vya Habari alisikika akiitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu kutotenda haki kwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kuelekea Uchaguzi mdogo utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Kufuatia malalamiko hayo Mkurugenzi wa Uchaguzi wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesisitiza kuwa itaendelea kuzingatia Sheria, Kanuni, Maadili na taratibu mbalimbali katika kuendesha chaguzi nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani wakati akijibu shutuma zilizotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.