Search results

  1. Silas Haki

    Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

    Ili upate kujua bingwa mara nyingi au timu kubwa inakupaswa uingie library uangalie ni timu ipi imetwaa makombe mengi ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Ukubwa haungaliwi kwa ligi moja tu. Ukimaliza kuchimbua vizuri huko library utabaini kuwa klabu moja inaizidi nyingine makombe mengi sana...
  2. Silas Haki

    Jimbo la Prof.Kapuya ukawa wachanua

    Ukawa ongezeni nguvu pia wilaya ya nzega. Tatizo timuya chadema iliyokuwepo toka 2010 haikuwa active kuwasimamia vijana na wazee kupata kadi za uanachama na kufungua matawi vijijini. Mwaka 2011 nilipita vijiji vingi na kukuta vijana wanangoja uongozi wa chadema tu wajiunge na nilienda hadi kwa...
  3. Silas Haki

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Mleta mada unapaswa uelewe kuwa case iliyozungumziwa hapo ni ya shares walizouziana na haikuhusu kabisa pesa za escrow account ambazo mgogoro wake haukuhusiana kabisa na hisa za VIP na PAP wala IPTL. Escrow ilihusu mgogoro wa namna ya kukokotoa tozo za capacity charge kati ya tanesco na IPTL...
  4. Silas Haki

    CCM Musoma Mjini inazidi kuteketea kwenye moto wa milele

    Hii ni hatari sana kama kweli mapinduzi yamekuwa hivyo
  5. Silas Haki

    Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    Naomba msaada wako mkuu kwa hili
  6. Silas Haki

    Naombeni ushauri, nampenda mke wangu lakini...

    hiyo ngiri ya ndani inakuwa na dalili zipi na dawa zake zinapatikana wapi?
  7. Silas Haki

    Good news!!!! NGUVU ZA KIUME SIYO TATIZO TENA

    Dawa zako huanza kufanya kazi na kumwezesha mwenye matatizo kurudia hali ya kawaida baada ya muda gani i.e. siku ngapi?
  8. Silas Haki

    Elimu ya Nape Nnauye

    Unafikiri kusoma sana ndo kuwa na akili nyingi? Unadhani kuwa na pua kubwa ndo kusema utakuwa na kamasi nyingi? Tuacheni mitizamo dhanifu jamani. Kuna watu wengi wana akili lakini hawakupata fursa za kusoma hadi elimu unazofikiri kuwa ndo kuwa na akili nyingi. Kuna maprofesa wengi lakini...
  9. Silas Haki

    Matokeo Kidato cha Nne 2012 ni FEKI (yamepikwa) - GREEN ACRES

    Ni ukweli usiopingika matokeo yamechakachuliwa. Mdogo wangu alifanya masomo ya Arts lakini yaliyotoka ni ya Sayansi i.e. Phsics na Chemistry ambayo hakufanya. There is no seriousness. Ni vyema matokeo yahakikiwe na doubts ziwe cleared
  10. Silas Haki

    Msaad ku-install WhatsApp kwenye Sony Ericsson WT13i

    Okey. Basi ngoja niachane na wazo hilo la WhatsApp.
  11. Silas Haki

    Msaad ku-install WhatsApp kwenye Sony Ericsson WT13i

    Habari zenu wakuu. Ninaomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp kwenye Sony Ericsson WT13i maana nimeshindwa kuelewa kama ni Android, window, ipad, iphone n.k. Nimejaribu options zote lakini imenigomea. Simu hii ina touch screen na inakubali mambo mengi tu ya internet ikiwemo facebook, Opera...
  12. Silas Haki

    Uchafu mwingine wa Nishati na Madini

    Wewe ndo mwenye matatizo, inajulikana wazi ukisema Steven Masele tayari unajua anashughulika na madini. Wewe hukuona hata wakati wa bajeti wabunge walipokuwa wanahoji madini automatically aliinuka Masele na walipohoji nishati aliinuka huyo rafiki yako.
  13. Silas Haki

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Hapa kweli nakuona una nguvu moja tu, nayo ni kuongea pumba ili uendelee kupewa ulaji/madaraka wakati ni dhaifu ndani ya chama dhaifu. Chama dhaifu kimeleta sera dhaifu za madini, ardhi, uwekezaji, ubinafsishaji, mafao ya wafanyakazi, uendeshaji wa bodi mbalimbali, ukusanyaji and utumiaji wa...
  14. Silas Haki

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Akili ni nywele japo haimaanishi kuwa kila mwenye nywele anatumia vizuri nywele zake. Kama unazitumia vizuri ungeweza kujua kama ni swali au jibu. Hata darasa la kwanza wanajua kiashiria cha swali ni nini. Nakutakia Kazi njema ya kutumika.
  15. Silas Haki

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Kuna dhaifu mmoja anadai kutojua msingi wa hoja ya yangu. Nashukuru kwa ufafanuzi huu. Ujumbe umefika kwa mhusika.
  16. Silas Haki

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Hivi kauli ya kusema CCM dhaifu haimaanishi kuwa "wanachama na wafuasi wake ni dhaifu vile vile"?
  17. Silas Haki

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kwanza niwapongeze wabunge wote wa CHADEMA na wale wa upinzani kwa kazi nzuri bungeni. Kero yangu ni juu ya Idara ya Maji Manispaa ya Morogoro. Imekuwa ikikataa kutuunganisha maji kwenye maeneo ya Kola B kwa singizio kuwa kuna mpango uliofadhiliwa na mashirika ya nje wa kusogeza bomba kubwa...
  18. Silas Haki

    Msaada Folders zote zimegeuka kuwa shortcut

    To BULL25Asante sana mkuu, nimefanikiwa ku-solve tatizo kwa kutumia link uliyoitoa. Big up sana.
  19. Silas Haki

    Msaada Folders zote zimegeuka kuwa shortcut

    Na mimi pia naomba msaada wa tatizo linalokaribiana na hilo. Niki-install VLC Media Player Icons zote za Programmes (Internet exploler, moderms, etc) zilizopo kwenye Desktop ya laptop yangu hugeuka na kufanana na shortcut ya VLC media Player na hata uki-click hizo icons e.g. Internet explorer...
  20. Silas Haki

    Waliosahaulika miongoni mwa wanaostahili kuwajibishwa

    Hapa umeona mbali sana mkuu. WATU hao uliowataja walipaswa kuwa wa kwanza kuwajibishwa. Upotevu na utumiaji mbaya wa resources zetu unatokana na kupwaya kwa taasisi hizo ulizozitaja.
Back
Top Bottom