Search results

  1. S

    Serikali yawasimamisha viongozi 5 waandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Umemjibu vizuri. Utendaji kazi mzuri usiendane na wizi. Akatumie pesa aliyopewa. Magufuli fanya kazi.
  2. S

    Serikali yawasimamisha viongozi 5 waandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Hujakosea. Wanazo Apartments na frem za biashara. Ndo chanzo cha kodi kupanda kwa 300% kitu kilichopelekea mfumuko wa bei ya sukari na vitu vingine. Ijulikane kuwa washika biashara wetu ni wapangaji wa makazi, maofisi na maduka wa Nhc. Huku mchechu akishauriwa na Hamad kushinikiza wapangaji...
  3. S

    Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

    Tatizo lilibakia kuubwa sana sasa ni watoa hukumu wetu. Ifike mahali sheria itungwe ili kuwachunguza watoa hukumu wetu kwa kesi zilizo wazi. Anayeonekana kutoa maamuzi ya ovyo achunguzwe ama akawe wakili wa kujitegemea. Hao ni kikwazo kikubwa mno.
  4. S

    Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

    Takukuru mimi niko upande wenu kama mnautaka ushahidi. Aliwahi kunipigia simu na kunitukana. Kwa vile tu sikukubaliana na wazo la sisi wapangaji kulipia huduma za walinzi, maji chumvi, umeme wa Tanesco na wafanya usafi humu Golden Plaza katika US dollar, akishirikiana na Bw. BHAVESHI. ilikuwa...
  5. S

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Mimi nawaomba sana hao wachunguzi wa Mchechu wasiache kupita kwa wapangaji waliomo ndani ya Golden Plaza Dar, kujisikilizia wenyewe jinsi matumizi ya dollar yanavyolipia wadada wa usafi, walinzi na umeme wa common areas. Chini ya shinikizo la Mchechu. Tena anakwambia kabisaa hutaki nitakufukuza...
  6. S

    Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

    Takukuru mimi niko upande wenu kama mnautaka ushahidi. Aliwahi kunipigia simu na kunitukana. Kwa vile tu sikukubaliana na wazo la sisi wapangaji kulipia huduma za walinzi, maji chumvi, umeme wa Tanesco na wafanya usafi humu Golden Plaza katika US dollar, akishirikiana na Bw. BHAVESHI. ilikuwa...
  7. S

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Pole mchechu. Nakukumbuka ktk ishu ile ya kuwalazimisha wapangaji kulipia huduma za usafi, umeme, walinzi na maji ya kitanzania kwa US Dollar hadi leo hii. Hongera kwa ku side na wabia.
  8. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    Nikisha sema Chinembe kisha chiRuba umenielewa. Hakunaga L
  9. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    Mh! kwa lugha yangu jina hilo linanikumbusha rais Chiruba wa zambia
  10. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    mwenye kuishikiria kesi ni mh. rais. he could count it as a criminal case or civil onem but he sought for acivil case. that being the case. mdaiwa kakubali kosa na yu tayari kulipa. Naomba nipatie jina - sifa (noun) ya mtu huyo je makinika? think bigger friend
  11. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    Umenipa asignment. Nakujulisha tu kiwa vitabu ni mawazo ya wenye hekima katika maandishi. so read from me
  12. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    Tafadhali badilisha jina lako. sikubaliani nalo. labda nakushauri jiite 'NEGE'
  13. S

    Lema: Nimependa Rais alivyokutana na wezi na kuzungumza nao kwa upole

    Anaye kiri makosa yake jiheshimu usimwite kwa sifa yake kabla. mfano kwa wazinzi akikiri kosa usimwite tena mzinzi mtafutie jina la kumtia moyo ili ajione ameanza kwenda sawa na jamii. kukosa ni kwa wote binadamu. Kwa taarifa zenu ninyi watu weusi; wazungu wakikwambia 'we are sorry" , ujue...
  14. S

    Huko majuu, Canada, makenikia yameleta balaa...... !

    nimeipenda avantar yako. imenikumbusha mbali nilkotoka. hongera sana
  15. S

    Hitimisho la mchanga wa madini

    Nimesikia mengi kuhusu ripoti ya mchanga wa madini. Kwa ufupi watu wachache wenye uwezo wa kusikika ktk vyombo vya habari wanaonyesha kutofurahishwa na ripoti hizo. Waliobaki ambao ni wengi mno mno wameonekana kufurahishwa na ripoti hiyo ambayo kwa hakika ni nzuri. (imetuweka huru watanzania)...
Back
Top Bottom