Search results

  1. L

    Elections 2010 Ripoti Ya Waangalizi wa EU!

    Mi nafikiri hawa waangalizi waache uongo, mbona ndo kwanza leo siku ya pili tu tangu kumalizika upigwaji kura???? Isitoshe hiyo technolojia inayosemwa hapo ni kwa mijini tu, unafikiri kwa vituo vilivyopo vijijini ndani huko hiyo inatumika??? Hapo ni lazima waende maeneo yenye umeme halafu...
  2. L

    Elections 2010 NO way, No how, No Slaa!

    Ndugu hii inawezekana sana tu na sio sababu. Kwa ufafanuzi: hizo website ziko hosted katika server moja ambayo inatumia hiyo IP addr: 72.249.185.225, kwa hoja hiyo labda uje na swala lingine...
  3. L

    Elections 2010 Tanzania Kumepambazuka: Kikwete Kwaheri!

    Hee! Hivi leo ni tarehe ngapi??? Kura zimeshapigwa jamani??? Mama yangu weee mi nilikuwa wapi??? Slaa kashinda uchaguzi???? Mh ndoto hii isipotimia, sijui nyuso zitafichwa wapi kwa kweli!!!!
  4. L

    Baada ya kuathirika na vvu sasa aokoka!

    Vipi bw. Rutashubanyuma, ulitaka aje hapa JF nini???? Halafu suala la mtu kuumwa na kumrudia Mungu wake hilo ni lake binafsi, mi nafikiri ungekuwa muungwana sana kama ungempongeza kwa uamuzi wake mzuri, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana. Tuache Unyanyapaa...
  5. L

    Elections 2010 Jina la ccm lilimaanisha nini?

    Mi nahisi ni Chama Cha Mipango.....
  6. L

    Elections 2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

    Mh huku JF ukimpinga tu wanayemtaka inakuwa balaa. Yani hata kama ni ukweli wanaweza kukutoa roho. Sasa nauliza yule mgombea mwingine aliyeanguka toilet na kuvunja mkono sijui pua hakuwa mgonjwa??? Kama kuanguka tu ndo kisingizio basi yule alikuwa mgonjwa zaidi hadi kuvunja mkono. Poleni watu...
  7. L

    Elections 2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

    WanaJF Habari yenu! Hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga hapa ingawa nimekuwa msomaji mzuri tu wa huu mtandao kwa kipindi kirefu kilichopita. anyway nimependa tu nichangie hapa kwa kuwa kipindi tulichoacho ni muhimu kwetu Watanzania. Nafikiri hatuhitaji kiongozi/viongozi wa visasi. Ikiwa hivyo...
Back
Top Bottom