Search results

  1. markach

    TBC Mnaibagua Chadema Mpaka lini?

    Ubaguzi kwa wana chadema, ni mkubwa utadhani ccm ndio walipa kodi peke yao. Ebu Angalien TBC1, hawawezi kutoa habari yeyote nzuri ihusiyo cdm, bali mbaya ndio wataitangaza weeeee. lkn ikiwa hata katibu wa ccm wa kata ameongea watairusha hewani kuliko kurusha ya m\kiti wa cdm. Mshana Naomba...
  2. markach

    Naomba Ushauri: gari ipi inafaa/imara kati ya Toyota Carina na Honda Fit

    Ndugu wana JF, naitaji kununua gari kwa matumizi ya shughuli zangu za binafsi. Nina chaguo mbili kati Carina au Honda Fit, ni ipi imara kwa upande wa kuvumilia mda mrefu bila matengenezo? najua kuna wengi wana uzoefu na haya magari, naombeni msaada wenu kabla ya kufanya maamuzi
  3. markach

    Kikwete amuandalia Dr. Husein Mwinyi urais 2015

    kwa yale yaliotokea juzi na jana mjini Dodoma, ni dhairi ya kwamba kikwete anamuandalia mtoto wa mzee mwinyi kuwa raisi wa Jamuhuri ya mungano wa Tanzania. Vigezo ni vingi, ebu angalia halimashauri mpya ya chama? angalia pia kamati kuu. nafiki mpango umeanza na utatimia. Nawasilisha
  4. markach

    Haya Magari Yanauzwa Na TRA Kwa Mnada Yana Ubora Kiasi gani

    Ndugu wana JF, Napenda kuwauliza wenye uzoefu kuhusu magari yanauzwa na TRA kwenye Mnada wao unaofanyika kila tarehe ya mwisho wa mwezi yana ubora gani? Je yanapatikana kwa bei nafuu kidogo au? Yeyote mwenye detailed information anaweza kunisaidia mimi na wengine ambao hawana information
Back
Top Bottom