Search results

  1. Chinedu5

    Nguo zenye rangi ya Jeshi

    Habari za muda huu Wana Jf.. Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana[emoji144] Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za...
  2. Chinedu5

    Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

    Habari za muda huu wana jamii? Matumaini yangu wote mpo salama,wale msio salama basi Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi kigumu mnachopitia. Niingie kwenye mada moja kwa moja.Leo wakati nipo ofisini mida ya saa 8 hivi,nilitembelewa na mgeni hivyo nikashuka chini kuonana nae, sasa...
  3. Chinedu5

    Song of Century🔥🔥

    Habari za muda huu!! Natumaini tunaendelea kuchukua taadhari na kujifukiza ili kupambana na corona,kwenye ile mitano tena ndo kwanzaaaa tunaanza na tayari kuna dalili ikawa 20 tena😂😂😂.... Anyway sipo kulijadili hilo,niingie kwenye mada moja kwa moja.Kwanza kwa iman yangu mimi ni...
  4. Chinedu5

    Naomba kueleweshwa kwa undani kuhusu suala la Kubemenda

    Habari za muda huu wakuu? Recently mwanangu amekua na shida, ana miaka 2 kasoro lakini hajaanza kuonyesha dalili za kusimama wala kutembea, mwanzoni nilidhani labda atakuwa kachelewa tu, lakini siku zinazidi kwenda, nlidhani labda anaweza akawa mlemavu lakini baada ya kwenda hospital doctor...
  5. Chinedu5

    Diamond Platnumz na Mbwana Samatta wanastahili kutunukiwa PhD ya heshima

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa msanii kama Wizkid na Tiwa Savage kuja Tanzania, kualikwa na mtoto wa Tandale, mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza, mtoto ambaye hata Form 4 hajamaliza kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement. KiukwelI Diamond kaleta...
  6. Chinedu5

    "Au kwa sababu mimi ni mlemavu"

    Habari zenu wana Jf..!! Niingie moja kwa moja kwenye Mada...niliwahi kukutana na msichana mrembo sana,basi nilifanya yanayotakiwa kufanywa mpaka nikawa na mahusiano nae..!!lakini huyu msichana kiganja chake cha mkono mmoja kilikuwa kimepinda,kwa maelezo yake anasema alipata ajali akiwa mdogo ndo...
  7. Chinedu5

    Vijana tujenge tabia ya kuheshimiana!!

    [emoji4][emoji4]
  8. Chinedu5

    Nipo njia panda sielewi nilipokosea

    [emoji17][emoji17]
  9. Chinedu5

    Je, mrejesho wa nafasi za Internship katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) unatoka lini?

    Habar wana JF! Mwezi wa 8/2019 TBS walitangaza nafasi za Internship vipi kwa anaefahamu wameshachagua wenye vigezo ama bado? Anaefahamu naomba anitaarifu
  10. Chinedu5

    Natafuta Drysol

    Habari wakuu
  11. Chinedu5

    Msaada tafadhali!!

    a
Back
Top Bottom