Search results

  1. M

    Majambazi (polisi) dhidi ya raia wema arusha

    Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?
  2. M

    Mwenzenu simuelewi zitto, wadau niambieni huyu bado ni shujaa wa chadema

    WADAU NINA MASHAKA MAKUBWA NA UADILIFU WA ZITTO KWA KAMBI YA CHADEMa, matendo na matamushi yake yananitia mashaka kama bado anaimba wimbo wa ukombozi wa tanzania kwa sauti ya Chadema.
  3. M

    afisa elimu wa mkoa mbeya kiwembo hachagui

    natamani mambo yake yawe hadharani
  4. M

    Mchina aua raia chunya kwa kisu

    Katika kile kinachosadikika ni mambo ya mapenzi, mchina mmoja amemua kijana mwenye umri kai ya miaka 19 - 30 jioni ya leo hapa chunya
  5. M

    Elections 2010 Tetesi "lowasa & makamba wagharamia uchakachuaji mbeya v na mbozi mashari

    VIGOGO WAWILI WA CHAMA CHA CCM WALIINGILIA KATI MATOTEO YA MAJIMBO TAJWA HAPO JUU, IMEFAHAMIKA. CHANZO CHETU CHA UHAKIKI KINADAI KUWASHUHUDIA WAHUSIKA HAO USIKU MKOANI MBEYA WAKATI ZOEZI LA KUSEHEBU KURA LIKIENDELEA. KWELI CCM MAFIA. :puke:
  6. M

    Elections 2010 Chunya yaenda CCM pamoja na wasimamizi kuwekwa ndani

    JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA :peep:
  7. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    WASIMAMIZI WATATU WA UCHAGUZI CHUNYA WAMEWEKWA NDANI KWA TUHUMA ZA UCHAKACHUAJI, HABARI KAMILI ZINAMTAJA AFISA ELIMU KILIMO BWANA MBULULE NA AFISA UKAGUZI NA MHUSIKA MWINGINE AMBAYE HAJAFAHAMIKA JINA WAMEWEKWA NDANI TOKA JANA JIONI KWA TUHUMA ZA UCHAGUZI. INASADIKIWA MATOKEO YALIYOKUWA YANAPIKWA...
  8. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    Wasimamizi watatu wa uchaguzi chunya wamewekwa ndani kwa tuhuma za uchakachuaji, habari kamili zinamtaja afisa elimu kilimo bwana mbulule na afisa ukaguzi na mhusika mwingine ambaye hajafahamika jina wamewekwa ndani toka jana jioni kwa tuhuma za uchaguzi. Inasadikiwa matokeo yaliyokuwa yanapikwa...
  9. M

    Elections 2010 Waungwana sharif kanunuliwa zanzibar au katishwa?

    NIMEFUATILIA KWA KARIBU MNO KAMPENI NA MCHAKACHO MZIMA WA UCHAGUZI ZANZIBAR, KWA MARA YA KWANZA CUF WAMEIBOMOA PAKUBWA NGOME YA CCM UNGUJA. TAFSIRI YAKE KUWA USHINDI KWA CUF ULIKUWA DHAHILI, SASA NAJIULIZA SHARIF AMEKUBALI MUSTAKABALI WA ZANZIBAR ZAIDI KULIKO USHINDI WAKE?:israel:
  10. M

    Elections 2010 SIKILIZA MATOKEO KUPITIA TOVUTI HII http://www.ustream.tv/channel/bbc-swahili

    UNAWEZA PATA MATOKEO KWA KUSIKILIZA BBC HAPA BBC Swahili on USTREAM: Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ikisikika moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam maalum kwa matangazo ya uchaguzi..
  11. M

    Elections 2010 Jimbo la Hai

    Jamani kuna mtu ana habari za jimbo la Mbowe?
  12. M

    Elections 2010 Hongera wana Ruvuma, Iringa, Mbeya, Kilimanjaro nk

    Asanteni wana ruvuma kwa ukombozi, huku mbeya sugu kapeta
  13. M

    Elections 2010 Kwa hali hii nguvu ya umma inaonekana

    Asanteni watanzania kwa mapinduzi haya zidi ya mafisadi sisiemu
  14. M

    Eti waungwana kwanini jeykei kabandika mabango ya picha zake nyingi kupita kiasi?

    Au ndio ukamilifu wa methali isemayo kibaya chajitangaza...kizuri chajiuza!
  15. M

    Elections 2010 CCM wamezoea kuchakachua

    Hawa sisimu wamezoea kuchakachua safari hii hata wabandike mabango ya mgombea wao, watumie ze old comedian kura hazitatosha, chadema is the new hope
Back
Top Bottom