Search results

  1. M

    Majambazi (polisi) dhidi ya raia wema arusha

    Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?
  2. M

    Mwenzenu simuelewi zitto, wadau niambieni huyu bado ni shujaa wa chadema

    WADAU NINA MASHAKA MAKUBWA NA UADILIFU WA ZITTO KWA KAMBI YA CHADEMa, matendo na matamushi yake yananitia mashaka kama bado anaimba wimbo wa ukombozi wa tanzania kwa sauti ya Chadema.
  3. M

    afisa elimu wa mkoa mbeya kiwembo hachagui

    natamani mambo yake yawe hadharani
  4. M

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    muuuuuuuuuh muuaji angekuwepo leo, hakika angemuua afisa elimun wa mkoa wa mbeya bwana JJK, MAANA NI MCHAFU KWA WAKE ZA WATU MIE SIJAONA
  5. M

    Mchina aua raia chunya kwa kisu

    Katika kile kinachosadikika ni mambo ya mapenzi, mchina mmoja amemua kijana mwenye umri kai ya miaka 19 - 30 jioni ya leo hapa chunya
  6. M

    Elections 2010 Tetesi "lowasa & makamba wagharamia uchakachuaji mbeya v na mbozi mashari

    VIGOGO WAWILI WA CHAMA CHA CCM WALIINGILIA KATI MATOTEO YA MAJIMBO TAJWA HAPO JUU, IMEFAHAMIKA. CHANZO CHETU CHA UHAKIKI KINADAI KUWASHUHUDIA WAHUSIKA HAO USIKU MKOANI MBEYA WAKATI ZOEZI LA KUSEHEBU KURA LIKIENDELEA. KWELI CCM MAFIA. :puke:
  7. M

    Elections 2010 Chunya yaenda CCM pamoja na wasimamizi kuwekwa ndani

    UNAYEJIITA CCM KAPIMWE AKILI MAANA UNAONGEA PUMBA TU HAPA. HILI NI JUKWAA LA WELEVU HUKUSTALI KUWEPO HUMU :peep:
  8. M

    Elections 2010 Chunya yaenda CCM pamoja na wasimamizi kuwekwa ndani

    JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA :peep:
  9. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    jamaa walikusanya matokeo sehemu anakokubalika zaidi mpinzani badala ya kuwasilisha kwa mkurugenzi wakajifungia mahali na kuanza kupika, wakiwa wamezima simu zao baada ya kutafutwa kwa muda wa masaa kadhaa ndipo walipogunduliwa kwenye ilikokuwa ofisi ya elimu ya zamani wakiwa wanaandika taarifa...
  10. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    najua mwisho wa siku watamaliza kiana stay tuned nitawajulisha wadau nini kinaendelea
  11. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    WASIMAMIZI WATATU WA UCHAGUZI CHUNYA WAMEWEKWA NDANI KWA TUHUMA ZA UCHAKACHUAJI, HABARI KAMILI ZINAMTAJA AFISA ELIMU KILIMO BWANA MBULULE NA AFISA UKAGUZI NA MHUSIKA MWINGINE AMBAYE HAJAFAHAMIKA JINA WAMEWEKWA NDANI TOKA JANA JIONI KWA TUHUMA ZA UCHAGUZI. INASADIKIWA MATOKEO YALIYOKUWA YANAPIKWA...
  12. M

    Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

    Wasimamizi watatu wa uchaguzi chunya wamewekwa ndani kwa tuhuma za uchakachuaji, habari kamili zinamtaja afisa elimu kilimo bwana mbulule na afisa ukaguzi na mhusika mwingine ambaye hajafahamika jina wamewekwa ndani toka jana jioni kwa tuhuma za uchaguzi. Inasadikiwa matokeo yaliyokuwa yanapikwa...
  13. M

    Elections 2010 Babati wamerogwa!

    Ni ujinga unawasumbua siku wakijua watalia sana
  14. M

    Elections 2010 Waungwana sharif kanunuliwa zanzibar au katishwa?

    NIMEFUATILIA KWA KARIBU MNO KAMPENI NA MCHAKACHO MZIMA WA UCHAGUZI ZANZIBAR, KWA MARA YA KWANZA CUF WAMEIBOMOA PAKUBWA NGOME YA CCM UNGUJA. TAFSIRI YAKE KUWA USHINDI KWA CUF ULIKUWA DHAHILI, SASA NAJIULIZA SHARIF AMEKUBALI MUSTAKABALI WA ZANZIBAR ZAIDI KULIKO USHINDI WAKE?:israel:
  15. M

    Elections 2010 Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM

    :israel::israel::israel::israel::israel: I DO AGREE WITH YOU, CCM WANABEBWA NA MFUMO WA TUME YA UCHAGUZI
  16. M

    Elections 2010 Kura zahesabiwa upya jimbo la Ubungo?

    Moshi haufunikwi mwadau hata wafanyeje jimbo tumechukua
  17. M

    Elections 2010 Jimbo la kawe

    Mdeee kashinda
  18. M

    Elections 2010 SIKILIZA MATOKEO KUPITIA TOVUTI HII http://www.ustream.tv/channel/bbc-swahili

    UNAWEZA PATA MATOKEO KWA KUSIKILIZA BBC HAPA BBC Swahili on USTREAM: Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ikisikika moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam maalum kwa matangazo ya uchaguzi..
Back
Top Bottom