Search results

  1. KENNY JEEZY

    Hili Gari Ni Peogeut 404 Miaka ya 1964/69 Lilikua Likiuzwa Tsh.3000/=

    Uzi wako hauja zingatia viwango vya mfumuko wa bei na thamani ya fedha yetu kwa kipindi hicho. Imagine Mwaka 1968 Gavana wa Benki kuu pamoja na mwalimu walikua wanapokea mshahara wa 5000/=
  2. KENNY JEEZY

    Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Ukiacha hawa waliotajwa hapo juu wacheck Widodo Computers kwa PC used, wapo Stand kubwa karibu na Amana Bank, watafute Instagram kwa maelezo zaidi
  3. KENNY JEEZY

    Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Ukiona hvyo ujue wana soko kubwa sana la ndani, kumbuka population ya China ni 1.4 Billion
  4. KENNY JEEZY

    Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Hass Tech pia ni 269,000. Huyu jamaa kwenye Xiaomi ana bei za kizalendo sana
  5. KENNY JEEZY

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hazina tofauti kubwa sana. Utofauti upo kwenye faster charger RN11P ina 67w. Na refresh rate 120Hz. Kama bei zinakaribiana chukua RN11P
  6. KENNY JEEZY

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wanauza ghali. Ninayo mpya 64GB @ 310,000 Kama upo Arusha au una mtu Arusha
  7. KENNY JEEZY

    Tukiachana na Flagship phones, nipe ushauri wa Mid range smartphones ukitoa Tecno na Infinix!

    Kwa 300,000 brand new nyingi hazina camera nzuri. Labda utafute flagship za miaka ya nyuma
  8. KENNY JEEZY

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    11R ni Chinese version inamiss band chache za 4g na kwa kuzingatia kuwa maeneo mengi tz hamna 5g. Chukua RN11 global ina band zote muhimu za 4g
  9. KENNY JEEZY

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Ambayo hamna frame inahitaji utaaalamu na umakani mkubwa sana kuiweka, kwa hawa mafundi wetu bora uchukue yenye frame
  10. KENNY JEEZY

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Speedaf wana official website unaweza pia kuripoti huko kuhusu huyu wakala wao wa Tanzania.
  11. KENNY JEEZY

    Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Upo sahihi napata 4g kwa band namba 3
  12. KENNY JEEZY

    Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Xiaomi 13 pro CN na 13 ultra zinalingana network bands
  13. KENNY JEEZY

    Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

    Natumia Xiaomi 13 pro Chinese version. Nina laini ya voda na tigo za 4g na ninapata 4g kama kawaida.
  14. KENNY JEEZY

    Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

    IBAN ni kifupi cha International bank Account Number, IBAN huwa ina combine namba zinazowakilisha nchi, bank husika na tarakimu zingine zinatokana na namba ya akaunti yaani namba za akaunti ya kawaida. Japo unaweza kutuma na kupokea fedha kwa account number ya kawaida lakini IBAN huwezesha...
  15. KENNY JEEZY

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Ndio huwa nachukulia ofisini kwako.
Back
Top Bottom