Search results

  1. D

    Lilongwe: Watanzania Washangilia Balozi wa Tanzania kuondolewa, yadaiwa alizorotesha Mahusiano ya Ubalozi na Watanzania wenzake

    Wewe kijana wa Mbowe unapiga majungu huku. Wakati boss wako yuko kwenye payroll na Polepole ni Balozi. Na mkeo unagongewa sababu huna pesa. Stupid.
  2. D

    Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Sawa nimekuelewa. Nina kampuni ya Usafirishaji. Nahitaji magari hayo kutumika katika kazi za kampuni. Maana mahitaji yameongezeka. Magari hayo naweza kukodi kulingana na makubaliano. Au kuyanunua kwa kulipa kiasi kila mwezi hadi kukamilisha malipo. Kwa mfano nalipa ndani ya mwaka mmoja.
  3. D

    Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  4. D

    Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  5. D

    Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

    Stress za kukosa hela ya kula na kuishi ghetto la rafiki kwa masimango
  6. D

    CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Hiyo haki wanaidai wapi?
  7. D

    CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Hata Viti maalum ni takwa la kisheria.
  8. D

    CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea. Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa. === Miezi...
  9. D

    Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Lissu akutane na Rungwe apewe ubwabwa maharage itapendeza
  10. D

    Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Lissu akikutanishwa na Rungwe itapendeza zaidi.
  11. D

    Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?

    Hawa makamanda uchwara hapa watatukana tu. Hii fikra inawachoma moyoni kisawasawa.
  12. D

    Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    WANAWAKE CHADEMA WAKOMALIA VITI MAALUM UBUNGE: WASEMA WAKO TAYARI KUVULIWA UANACHAMA WAKIWA BUNGENI - Ni katika kikao kinachoendelea muda huu bahari beach Hotel - Wanaume wawataka wanawake wa Viti Maalum kukataa Ubunge huo - Halima Mdee na Esther Bulaya waongoza mgomo wa BAWACHA kutaka...
  13. D

    Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwa msiojua sheria za uchaguzi, tayari majina ya wabunge viti maalum yalikwishapelekwa. Kwa mujibu wa sheria za Uchaguzi, majina ya viti maalum hupelekwa walau siku 30 kabla ya uchaguzi mkuu. Hivyo majina hayo yapo na jina la kwanza ni Halima Mdee, la pili Esther Bulaya n.k....
Back
Top Bottom