Search results

  1. lwamu

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    @Iceberg9 naomba uelewa wako juu ya hili
  2. lwamu

    Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

    Na mikopo anayochukua kila kukicha
  3. lwamu

    Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Tukakusanyike misikitini na makansan kumuomba Mungu atuondolee Corona sio!!!! Sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lwamu

    Matatizo: Je, ni uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu?

    Thibitisha kauli yako mkuu kwa concrete evidence! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. lwamu

    Public Relations: Paul Makonda alipaswa kusema maneno haya baada ya Serikali ya Marekani kumzuia kuingia nchini humo...

    We nae hukuagi 2,Kila siku kutusalmia wenzio. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lwamu

    Naweza kupata Passport bila kuwa na kitambulisho cha uraia(NIDA)

    Asante mkuu ntafanya hivyo.... Na hiyo Namba ya NIDA naeza kuipata kwa muda gani baada ya kujiandksha?
  7. lwamu

    Naweza kupata Passport bila kuwa na kitambulisho cha uraia(NIDA)

    Nataka kwenda masomon nje ya nchi mkuu
  8. lwamu

    Naweza kupata Passport bila kuwa na kitambulisho cha uraia(NIDA)

    Wakuu habari. Naomba kuwauliza wajuvi,naweza kupata Pass ya kusafiria ilhali sijapata kitambulisho cha uraia,lakini nyaraka zingine zote ninazo... Karibuni wajuvi mnipe uzoefu wenu
  9. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo bahat yako mkuu.....kumbe mitambo hukosea pia....though nahc wataja sanuka na kurudsha chao.....beware Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We ulibet ashinde siyo aqualify Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nlzkwepa game za UCL! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ani hiyo game PSG anapigwa 4....ana kikos kbovu hatareee....ngoja nkamwekee Nantes next to score Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lwamu

    CAG Mfano wa Kuigwa kwa Wasomi

    Hakika mkuu,na huo ndio uzalendo wa kweli ambao Mh.Raisi na wateule wake wanauhubiri. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. lwamu

    CAG Mfano wa Kuigwa kwa Wasomi

    Nikiwa mkubwa nataka niwe kama CAG' Sent using Jamii Forums mobile app
  15. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Under 2.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ko we unajua kwenye betting kuna option ya 3 way pekeake..... Kariri hiyo option uliwe kichwa kila siku. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. lwamu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kama ni sure odd c ungestake Nyumba... Sa stake 200...u serious bob Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom