Search results

  1. H

    Wanyonge serikali inayosema ni wa kina nani?

    Nimesikia kila rais akisima anasema anatetea wanyonge hao wa nyonge ni wakina nani? 1) Mkulima ni moja, leo hii mkulima wa mahindi amefilisika baada ya kuzuiwa mahindi kwenda nje na soko letu la kenya kufa,wakulima mbaazi baada ya bei elekezi ya serikali kama huko manyara mwaka juzi wanunuzi...
  2. H

    Careerist political prostitute(nimeshidwa kutafsiri kiswahili)

    careerist political prostitutes,kuna viongozi wengi sana sasa hivi wanaangukia katika category hii,ningependa sana wanajamvi mnisaidie kutafsiri kiswahili neno hilo,tunaona viongozi wengi wakijivua utu ili kumridhisha mheshimiwa.naombeni sana tafsiri sahihi.
  3. H

    Jifunze kulima mahindi.

    Hii ni njia sahihi ya kuotesha mahindi.
  4. H

    Tamko la maimamu kuhusu kuuliwa kwa imam na polisi

    Nimesikiliza kwa makini na sipati jibu,hivi kama mtu anavamia atm na kila atm kuna camera kwa nini wasitoe picha? Majambazi wengi wanauliwa kati yao wako waislamu na wakristo ni kwanini mashekhe hawa wote waseme huyu hakuwa jambazi? Hatujawahi kusikia maimamu wakilalamika kuhusu hao wengine...
  5. H

    Magufuli na chadema nani mpinzani?

    Ingekuwa 2013 angesema mambo mheshimiwa rais anayoyafanya sasa ungesema ni mpinzani wa kikwete ,kila kitu kikwete kibaya ilichokifanya yeye amekirekebisha na kila kizuri alichokifanya yeye ameharibu,sasa nashindwa kuelewa alivyo anza alikuwa anaangalia mwenzake aliyoyafanya na kwenda tofauti au...
  6. H

    Container zilikuwa na gari za uwizi

    Habari iliyopo baada ya gari zilizokuwepo kwenye container kufuatilia huko uingereza zinaonyesha ni gari zilizoibiwa uingereza,hivyo kuficha kwenye karatasi ni kukwepa kujulikana huko uingereza.
  7. H

    Tofauti bei ya umeme kenya na Tanzania

    Nasikitika sana kusema nchi ya viwanda haiwezekani,kenya wanatushinda kwa bei ya umeme,wataalamu wa viwanda ,mandhari ya uwekezaji ni nzuri (supply ya mahitaji ya kuendesha kiwanda,spea,chain ya mahitaji)historia kenya ni nzuri kwani hawajawahi kutaifisha mali ya watu, Vat ni asilimia 16...
  8. H

    Tofauti ya bei Kenya na Tanzania

    Nasikitika sana kusema nchi ya viwanda haiwezekani,kenya wanatushinda kwa bei ya umeme,wataalamu wa viwanda ,mandhari ya uwekezaji ni nzuri (supply ya mahitaji ya kuendesha kiwanda,spea,chain ya mahitaji)historia kenya ni nzuri kwani hawajawahi kutaifisha mali ya watu, Vat ni asilimia 16...
  9. H

    Ni kweli serikali haina chuki na wafanyabiashara?

    Nimejaribu kuangalia hatua zilizochukuliwa katika kipindi cha mwaka mmoja, wewe toa mawazo yako kama serikali inapiga vita wafanyabiashara (matajiri) au la. 1. Serikali imetoa hela yake kwenye mabenki. 2. Serikali imeacha kulipa madeni ya ndani (pembejeo,wakandarasi n.k) 3. Serikali iliamua...
  10. H

    TRA .wanazuia watu wasifanye biashara makisudi.

    Mimi naagiza magari kwa wateja wangu mara kwa mara,ila tumefika sasa hali ni mbaya kifedha na tra wanatukwamisha makusudi,kuna mteja anataka gari thamani hadi da dola 12000 lakini TRA wanasema ni 24000,nikaenda ofisini kwao nikawaambia hii gari mteja wangu anataka lakini thamani yake 12000...
  11. H

    Mambo hutayasahau 2016,Na mambo unayotarajia 2017 jamii forums

    2016, Watumishi hewa na vyeti bandia sito sahau, 2017 Nategemea kuona malalamiko ya upinzani humu ya kiisha,na lema kutulia. Pia natarajia kuona wana CCM wanachama kupigwa na hali ngumu ya maisha na kuzungumza ukweli, Naishukuru sana Jamii forums kwa kutukutanisha watu wengi wenye mawazo...
  12. H

    Mkutano wa halmashauri kuu CCM, ni nani analipa gharama?

    Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu? Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya serikali katika masuala ya kichama? Naombeni mnifahamishe.
  13. H

    Rais Magufuli atafuta leseni ngapi za wachimbaji?

    Naona kuna wimbi la wananchi kurudi na kuvamia maeneo ya migodi ya dhahabu,nasikia hata Mererani nao wameanza kudai maeneo ambayo mwekezaji alifukia na halitumii,sasa swali JPM atafuta leseni zote kuridhisha wananchi walio wengi? Mimi naona ameanzisha kama yale mapinduzi iliyoanzia Tunisia.
  14. H

    Matatizo ya Waislam sio ya serikali

    Uongozi katika Uislam Uongozi tunaozungumzia siyo wa kiimani ila kwenye kila msikiti kuna Imam na kuna kamati. Tatizo ni kwenye hizi Kamati, misikiti mingi miaka ya nyuma ilikuwa ikiongozwa na BAKWATA na waliijenga kwa misingi ya ufisadi na kupora mali bila ya kuwashirikisha waislamu wengi...
  15. H

    Tujifunze ya Bukoba, tuchukue tahadhari ya mount Meru

    Arusha — IT may have been passive for a long while, but Tanzania's second highest mountain, Mount Meru, is reportedly apt to erupt without notice, putting the lives of nearly one million people in jeopardy. Recent studies, as well as chronological volcanic measurements conducted by the...
  16. H

    Uonevu wa Trafic Police Tanzania

    Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi hamsini aidha 40 na 60 hivyo inabidi dreva aangalie mshale ukae kati. Sasa swali, dereva ataangalia...
  17. H

    Uchakachuaji wa Vocha za kilimo kufikia kikomo(Jpm)

    Habari nilizopata kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, jana Mheshimiwa JPM alisema anafahamu baadhi ya watu wanachakachua vocha za pembejeo ya wakulima masikini na safari hii atahakikisha wale wote wanaohusika na dhuluma hiyo wanachukuliwa hatuwa za kisheria na atahakisha ukaguzi unafanyika...
  18. H

    Chinese drivers intentionally kill the pedestrians they hit

    The insane reason why Chinese drivers intentionally kill the pedestrians they hit In April, a BMW racing through a fruit market in Foshan in China's Guangdong province knocked down a 2-year-old girl and rolled over her head. As the girl's grandmother shouted, "Stop! You've hit a child!" the...
  19. H

    Membe asisitiza kuhusu uraia wa nchi mbili

    Leo waziri wa mambo ya nje mbwana membe amesema haoni sababu ya kuwakomoa diaspora wasiwe na uraia wa nchi mbili,ukweli tuna wahitaji ndugu zetu walioko nje kujenga uchumi wetu na kurudisha taaluma zao nchini na kujisikia hii ni nchi yao pia. Lakini pia unaporuhusu sheria ya uraia wa nchi mbili...
  20. H

    je vijana Tanzania tunaweza kutawala?

    Nimekuwa nikisubiri kwa hamu kuona kuna vijana wangapi wanaogombea urais.lakini sijaona, leo wapiga kura million 15 ni sisi vijana kati ya miaka 16 hadi 35 lakini sioni vijana naona wakishangilia wazee kama magufuli 55,lowasa 63 na slaa 67, lini vijana tutaka nafasi?dunia ingine wana badilisha...
Back
Top Bottom