Search results

  1. M

    Maswali kwa Mwanakijiji na wengine wenye kufanana naye katika mtazamo wa siasa...

    Kama wachangiaji wengi wanaojirudiarudia hapa JF wanavyotaka kutuaminisha kuwa wana chadema wengi wamekerwa na usaliti wa Zitto basi wangeshinikiza uongozi wa chama utii matakwa yao kwa kumfukuza Zitto. kama kweli mleta uzi ana ushujaa angeanzisha uzi wa kumpa Mbowe, Slaa na CC ya chadema...
  2. M

    Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Ok, ila sitoi lawama bali angalizo kwetu tulio bado hai, wao safari yao hapa duniani imekwisha.
  3. M

    Kim Jong Un’s Uncle Executed

    Kinachonishtua ni uharaka wa baadhi ya nchi katika kutekeleza adhabu ya kifo. Huyu kahukumiwa na muda mfupi tu kanyongwa. Iraq pia kwa Saddam, na hivyo imekuwa kwa hukumu za watu wengine. Bangladesh juzi kwa yule jamaa wa uhalifu wa kivita. Iran etc.
  4. M

    Familia ya Mwl. Nyerere yaalikwa kwenye mazishi ya Mandela

    Ni nchi nyingi zimetoa mchango kwa ukombozi wa South Africa. Tusing'ang'anie kupewa sifa zote sisi Tanzania. Hata hivyo motivation yetu ya kusaidia mapambano ya South Africa haikuwa ili tuje tusifiwe baadae bali kutimiza ndoto ya "Africa huru".
  5. M

    Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Pole kwa wafiwa, ujana + kilevi + gari = deadly combination
  6. M

    Mavurunza NIDA: kuazimwa t shirt ya nida upigie picha Tsh 500,ukitaka upigwe picha faster 1000/2000

    Kwanini usiende na tisheti ama shati lako la rangi ambayo sio nyeupe kuepusha kukodi shati? Matangazo si yapo na yanaelezea rangi za nguo za kuvaa, isiwe nyeupe wala isiwe na maandishi ama nembo yoyote.
  7. M

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Aisee kumbe ndio maana mambo yapo yalivyo hivi sasa. Hatari sana.
  8. M

    Napendekeza Alfonce Mawazo apewe Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

    Politics si mchezo, hadi uchaguzi mkuu uishe chadema mwakani kuna majeruhi wengi tu wa kisiasa kama inavyokuwaga ccm. Na funga kazi itakuwa ni kwenye nominations za ubunge. Mungu tupe uhai kuona kitakachojiri.
  9. M

    Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

    Walewale wanaoongoza kwa kumtaja Zitto kama mtu asiye aminika sasa wanajikomba na kumlamba viatu awape majina ya Uswizi. Ina maana ghafla bin vuuup Zitto anaaminika tena? Duh siasa za bongo hatareee sana.
  10. M

    Facebook imenishinda!!

    Naipenda facebook, ni mtandao mzuri sana.
  11. M

    Matumizi ya facebook...hasa kwa wenye ndoa..

    Huo ndio ukweli uliousema. Yaani inavyopondwa FB utadhani yenyewe ndio inakupa tabia hizo mbaya wakati watumiaji wana akili zao timamu na utashi wa kuamua.
  12. M

    Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

    Wewe unadhani huu mgawanyo unakuja kwa bahati mbaya? Unadhani aliyetoka kwenye background ya familia ya ualimu anafurahia kuwa mwalimu ama analazimika (kwa sababu hana option) kuwa mwalimu na yeye pia kama wazazi wake waliomtangulia? Hii ni social class reproduction: na ipo hapo si kwa bahati...
  13. M

    Afande Sele kugombea ubunge 2015

    Hahahahaha....Amepita bila kupingwa
  14. M

    TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

    Pamoja na mbeleko zote inazopewa na serikali bado ni failure tu hii kitu?
  15. M

    Ni nani mtunzi wa wimbo, "Mabepari Walia" na yuko wapi?

    Interesting observation
  16. M

    Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

    huyo dogo mwambie ajifunze ngeli za majina akifikia hiyo topic atajua kwa nini miti huanza na herufi m...
  17. M

    Nairobi Commuter rail project kicks-off

    Nairobi sasa iko mguu na kundi moja na majiji kama Tokyo, New York, Paris huku ikiwaacha kwa mbali majirani zake wa afrika mashariki: haya ndiyo mawazo ya wakenya: ndoto za mchana.
Back
Top Bottom