Search results

  1. Profkaka

    Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

    Dr yupi ulimuona hapo agakhan?
  2. Profkaka

    Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Panton ni shida asubuhi unatumia saa zima kusubiri pabton[emoji31]
  3. Profkaka

    Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Hayo malipo ya kumbambikia mumeo watoto wasio wake. Achana na hizo mali ndio sio tena riziki yako. Mwisho wa siku hata ndoa nayo utaikosa
  4. Profkaka

    Starehe yako kubwa ni ipi?

    Kujifunza vitu vipya
  5. Profkaka

    Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    C’est le bon weekend!!
  6. Profkaka

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Machine ipi nzuri kwa ajili ya kunyolea ndevu nyumbani?
  7. Profkaka

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Acha kupotosha uma hao matajiri wengi ni wasomi kuliko hao darasa la saba unawazungumzia wewe. Probability ya kutoboz na hiyo elimu yako ya darasa la saba ni ndogo sana otherwise utaishia kufanya biashara ndogo ndogo. Marehemu Dr Mengi alikuwa phd holder na exposure ya kutosha ambayo imemfanya...
  8. Profkaka

    Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    Bonjour tout
  9. Profkaka

    Natafuta rafiki/mpenzi/mume ambaye ni Hiv +

    Kila la kheri pia unaweza kupata msaada kuna page inaitwa hiv_positive_living ipo insta huwa anasaidia watu wenye hali kama yako kupata wenza
  10. Profkaka

    Hivi kumbe unaweza kuwa na ndoto ya kufanya kazi sehemu tangu ukiwa mdogo na usifikie hata robo? Basi usikate tamaa!

    Kuwa mvumilivu tu wakati wako ukifika utapata position ya juu zaidi huko NMB. Ni swala la muda tu. Changamoto ni lazima ukutane nazo ili ukomae.
  11. Profkaka

    Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

    Subiri utakapo kuwa unaumwa hoi hujiwezi. Hao watoto wa kike ndio wanaweza kuacha mambo yote na kuja kukukaa na wewe. Lakini hao wakiume katu hawawezi
  12. Profkaka

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Je kuna mtu kupitia huu uzi amefanikiwa kifungua duka la vifaa vya umeme?
  13. Profkaka

    Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

    Huyu ushamba unamsumbua alafu anataka jamii imuonee huruma. Hiyo nyumba miaka yote inakumbwa na mafuriko. Mzee kimya kimya alikuwa analipwa n insuarance. Si ajabu labda bima imeisha
  14. Profkaka

    Wiki ya tatu sijapata kitu. Naumia sana

    Guruguja ni nini?[emoji23][emoji23]
  15. Profkaka

    Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

    Uliyetoa huu uzi tupe mrejesho basi
Back
Top Bottom