Search results

  1. MKINGUZI

    Utapeli wa kimapenzi. Any legal advice or any advice required.

    Eti guys help me with this, Soma the article and advise accordingly: Kuna a girls ( girl V and Y ) ambao wamekuta kikazi huko Oman, sitotumia majina for its a real case in this matter. Then mmoja wao Y akarudi Tz, then this Y convinced V that there is her brother "X" can be suitable for as a...
  2. MKINGUZI

    Maandamano ya 2 November: Je, ni Demokrasia au waliokosa wanapigania maslahi binafsi?

    Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
  3. MKINGUZI

    Wood, welding and aluminium Workshop equipments

    Habari zenu ndugu zangu. Natarajia kufungua workshop kwa ajili ya wood, welding and aluminium works lakini kuna vitu nashindwa kudecide Kama vile brand ya machinery na what tools za kuanza nazo ambazo ni essential kwa pande zote nilizotaja hapo juu. Naombeni mawazo yenu na guidance katika...
  4. MKINGUZI

    Uchaguzi 2020 Ndugu yetu Tundu Lissu, KUBALI matokeo na ujipange safari ijayo

    30 OKTOBA 2020 Tumekuwa wafuatiliaji wakubwa wa kampeni zako tukiwa na matarajio ya kupata mengi mazuri baada ya kurudi kutoka Ubelgiji ukionyesha hali ya kushiriki vema katika kampeni zako. Na kwa kweli ulianza vema ufunguzi wa kampeni zako kupitia CHADEMA yetu, ila tulianza kupata shaka...
  5. MKINGUZI

    Nauona ushujaa wa nguli Winston Churchill katika Dkt. John Pombe Magufuli

    Na Claudio Kisake Mbabe huyu wa Kiingereza wa vita ya pili ya dunia, baada ya kutendwa vibaya na vikosi vya Mbabe mwingine wa ki-Nazi Adolf Hitler hakukata tamaa na alijipa matumaini sana na kuwapa motisha vijana kwamba waendelee na mapambano. Kuna kipindi aliwaambia "this was their finest"...
  6. MKINGUZI

    Uchaguzi 2020 Ubovu wa Vyama vya Upinzani: Sababu 10 kwanini wapinzani wanyimwe kura mwaka huu 2020

    1. Sera zao ni za ushari, hila, fujo ghiliba za kubomoa na kutengeneza Tanzania ya machafuko kwani kwao amani tuliyonayo si kitu kwao isipokuwa tamaa za madaraka. 2. Wakati Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipitisha bajeti za kimaendeleo Bungeni, wao Wapinzani walikuwa na kazi ya kususia...
  7. MKINGUZI

    Membe, Zitto wapanguliwa hoja mradi wa gesi Kusini kwa mikwaju 7 Kafulila

    Na David KAFULILA 2Sept.2020 Natofautiana na Zitto, Membe mradi wa gesi kusini wa $30bn. Sera zao kuhusu uwekezaji ni kuuza nchi! #Kumekuwapo na mjadala mkubwa kuhusu kulikoni uchumi wa gesi nchini. Labda niseme tu kwamba kwa kiasi kikubwa kilichobeba agenda ya uchumi wa gesi ni mradi wa...
Back
Top Bottom