Wewe unajua nini maana ya neno ufalme wa mungu ni ufalme wa roho....ufalme wote wa mungu ni roho na neno roho ndiyo spirit.....kisayansi ilo neno linaitwa energy ...vitu vyote ni energy ....nafsi na mwili ni energy ...binadamu ni mwili na nafsi ambavyo vyote hivyo ni energy na hii siyo kidini tu...
Mungu ni nafsi ila ni roho ndiyo maana unasikia inasemwa roho mtakatifu au roho ya mungu hivyo neno roho ndiyo neno la kwanza pasipo roho hakuna mungu wala ufalme wa mungu maana vyote ni roho
Tumia akili neno roho ni neno kuu tena ni neno la kwanza kabisa la maneno yote pasipo roho hata mungu hayupo ..tumia akili acha kudanganywa na uongo wa makanisani na mitume feki vitu vyote ni roho mungu pia ni roho .. ufalme wote wa mungu ni roho maana yake vitu vyote alivyo umba mungu ni roho pia
Baba yako aliuza ng'ombe wake kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe...je sisi mabasha tuna ruhusiwa kupiga kelele zetu kwenye hii thread au la ?.
Mleta mada ni mwalimu sema ka take cover tu.. yeye pia ni muhusika kwenye icho kikao hivyo anashangaa kwa nini walimu wenzake kumshangaa yeye kuwa na gari zuri ....ila ni kawaida ya binadamu anapo taka kitu kizuri kuanzia kwenye kukitamani baada ya mmoja wapo au baadhi ya milango ya fahamu...
Inategemea huo ugali unakula na mboga gani au kwa mchanganyiko gani wa mboga maana ugali ni kama kula tu mahindi ya kuchemsha au kuchoma kinacho jaji hapo ni mboga unazo tumia..
Wewe unategemea nini unapo kula au kuwa lisha watoto wako ugali na maharage kama ya jela au ya shule za boarding kila...
Hivi vita ni vipana kuliko uwezo wako wa akili ndiyo maana unaona bwana Putin kazuia ushabiki wa ushoga kwenye nchi yake kwa sababu ya vita .. wewe unadhani kwanini putin kafanya hivyo ...vita ni pana sana hii silaha za kila aina zinatumika ..kuanzia silaha za
1) ushoga
2) ugaidi
3)ujinsia...
Kuna kitu kinaitwa transplant....ni kweli kuwa ISIS ndiyo walio fanya ugaidi ila kuna transplant ya ukrain na hii transplant inaweza kufanyika kwa njia nyingi either kwa ISIS kujua au kutokujua kuwa wanatumiwa na kupewa upenyo fulani au backup na wazungu ili jambo lao lifanikiwe ....mfano ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.