Search results

  1. Izz

    IDF imewapiga risasi mateka 3 na kuwauwa huko Gaza, wanasema bahati mbaya.

    Wayahudi wa Msanga Ngongele wao wanasemaje kuhusu hili?
  2. Izz

    IDF imewapiga risasi mateka 3 na kuwauwa huko Gaza, wanasema bahati mbaya.

    Watoto wa Kigango cha Mavurunza mna tabu sana! Tulia dawa iingie!
  3. Izz

    Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Endelea kuwarusha kimasai tu mpaka waombe poo 😆
  4. Izz

    Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    H Dr kahtaan naona unampa mtu hapa kati chembe kidevu teh teh teh!!!
  5. Izz

    Harakati za Maaskofu kujisafisha na kujitenga na 'mabaya ya Magufuli' hazitawasaidia. Waombe radhi na wao

    Tulia kijana, kaa kitako kwanza halafu kunywa maji funda moja! Husiandike tu kama huna fahamu!
  6. Izz

    Harakati za Maaskofu kujisafisha na kujitenga na 'mabaya ya Magufuli' hazitawasaidia. Waombe radhi na wao

    Mkuu, umeeleweka vema sana! Hapa labda mtu ajitoe ufahamu tu [emoji23]
  7. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Maalim ulamaa alhabib Dr kahtaan, nakuona unampa mtu jiti la ROHONI Teh teh teh!
  8. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Amin ya rabbi I alaamin! Naam tumerejea kutoa darsa, maana vijana wanazidi kupotea kwa kula ugoro na kunywa Mapuya! Teh teh teh!
  9. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Teh teh teh! Wakati ukuta huo [emoji23]
  10. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Wacha woga kijana, tulia kama moja! Dr kahtaan kajaa tele, kaja na AstraZeneca za kutosha kwa viumbe wa dizaini yako kisha ndiyo tuendelee na Mnakasha! Teh teh teh!
  11. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Amin ya rabbi I alaamin! Atuzidishie sote Maalim wangu Dr kahtaan. Nimefurahi kuwaona wote hapa Barzani pamoja na Shariff Ritz. Tuko pamoja!
  12. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Kwani walifungwa hata useme kwa sasa wako HURU?
  13. Izz

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Akhy, Ritz naona wamekukumbuka kiana hawa viumbe!
  14. Izz

    Kazaa na maiti mtoto wa kiume

    Katika Ulimwengu huu wa sayansi mambo leo, hakuna kizuizi cha mtu kutokujua maana hata kama Mwandishi kaandika Kiyunani! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Izz

    Kazaa na maiti mtoto wa kiume

    Huu msiba mkubwa [emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Izz

    Darhotwire

    Wahenga tupo!
  17. Izz

    Darhotwire

    Kama umezaliwa miaka ya 2000 huwezi kuelewa.
Back
Top Bottom