Search results

  1. M

    Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  2. M

    SIRI: Timu yetu ya Taifa Stars isipokuwepo na promo ya media,ahadi za wanasiasa,kocha akipanga timu mwenyewe bila shinikizo mara nyingi tunafanikiwa

    Mods naomba msiunganishe hii thread! Leo hii kila Mtanzania akiwa na Furaha baada ya timu yetu ya Taifa Stars Kufuzu Afcon mwakani. Sasa kila Mtanzania ana uhakika wa Kukaa kwenye TV na kuona Vijana Wetu wakiliwalisha Taifa Huko Ivory Coast... Sasa tumegundua ya kuwa timu yetu Ili kufanikiwa...
  3. M

    TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  4. M

    Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  5. M

    Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

    Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa. Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano...
  6. M

    Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  7. M

    Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  8. M

    Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  9. M

    Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  10. M

    Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
  11. M

    Nchi yetu ina wakosoaji wengi na wasifiaji wengi mitandaoni kutokana na ukosefu wa ajira

    Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
  12. M

    Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  13. M

    Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

    Habari Wana JF. Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu. Sasa Changamoto kubwa...
  14. M

    Wazo: Katiba ya CCM ibadilishwe muundo wa Mwenyekiti wa Chama, bali Mwenyekiti atokane na Marais Wastaafu au Mawaziri Wakuu Wastaafu

    Mimi ni Mwana CCM nimejaribu Kuwaza kwa mtazamo wangu na pia kumpunguzia Majukumu ya kichama Rais badala yake yeye awe tu Mjumbe anayeingia moja Kwa Moja kwenye maamuzi ya kichama. Huu ni mtazamo wangu.Na muundo wake Rais Aliyepo madarakani ndiye ateue Majina ya hao Viongozi Wastaafu au wao...
  15. M

    Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  16. M

    Mufindi: Mmiliki QWIHAYA General Enterprises atakiwa kuhamisha kiwanda ili kupisha gereji na nyama choma

    Sakata lake Liko hivi QWIHAYA ni kiwanda Cha nguzo za Umeme ambacho tangu Rais, John Pombe Magufuli aagize kuanza kutumika kwa nguzo zinazozalishwa ndani ya nchi, kimefanikiwa kuongeza ajira 350 kutoka chini ya 50 kabla ya mwaka 2015, wengi kutoka ndani ya mji wa Mafinga, na Wilaya ya Mufindi...
  17. M

    Wadau naombeni Anayefahamu Drivers za Sound Boost za PC.

    Msaada wenu Tafadhali Wadau.Natumia HP ina sauti ndogo Sana.Nataka niongeze angalau.Mwenye kufahamu drivers msaada Tafadhali.
  18. M

    Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  19. M

    Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  20. M

    Maombi na ushauri kwa TFF na Wadau wote wa soka kwa pamoja

    Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati nafasi. Je, sisi Watanzania kupitia TFF hatuwezi kuona hii ni fursa ya sisi kuanza kuwashauri baadhi...
Back
Top Bottom