Search results

  1. Chrix_Tz

    USHAURI: Epuka Makosa haya 10 Kabla ya kumiliki Chombo cha Moto

    Nimeelewa vyema mkuu shukrani kwa kutukumnusha vitu muhim zaidi....
  2. Chrix_Tz

    Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

    Akili zako zinakutoshaaaa mwenyewe mkuuu.....
  3. Chrix_Tz

    Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    hahahahh imebidi nicheke tuuu wazee wakufukunyua kama nawaona vileee
  4. Chrix_Tz

    Tofauti ya matumizi ya social media kati ya wazungu na watanzania

    Dah yaan nimecheka aseee jpili ya leo si ya mchezo kwa hii kitu imeniletea good mood kutoka kwenye bad mood....[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Chrix_Tz

    Birian la mariam

    Vigezo gani vinatumika kuwa member huko mkuu maana duh
  6. Chrix_Tz

    Birian la mariam

    Mbona sielew elew kuna jukwa la mafichoni inamaana en halionekani ktk list ama vipi[emoji26]
  7. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Km vipi nichek wasap nione hali yake mkuu en iko wapi hiyo chuma?
  8. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Sio mbaya kwa hapooo ila kwa brevis naielewa sana mkuu nikiipata lazima niibebe
  9. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Brevis inabugia mafuta kwa uwiano upi mkuu?
  10. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Na madalali ni shida siku hizi wamejaa utapeli sanaaa nililetewa gar ila duh niliwah kushtuka mkuu sema ndio hivyo inahitaj akil sana ktk hil jambo
  11. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Nataka mwanza sio dar mkuu
  12. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Ebu fanya hivyo mkuu alaf nitumie picha zake nione hali yake unaeza kuja pm km vipi.....
  13. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Nambie mkuu
  14. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Haya mambo ya biashara ya kuagiza pia huwa na mashaka nayo sana bor kitu unachokiona tuu
  15. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Ni kwel mkuu ngoja niendelee kutfuta tuuu hali ngum kwel
  16. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Sawa mkuu nashukuru kwahilo but nahis sitaweza hiyo ngoja niendelee na kutfuta km nitahitaji kufanya hivyo bas takuchek mkuu okey
  17. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Ipo 6 kamili haizid zaid ya hapo mkuu tunaenda na bajet
  18. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Shukran mkuu ila sihitaji aina hiyo.... nahitaj gari ya kutembelea tuuu sio ya biashara.
  19. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Okey shukrani mkuu kwa ushauri wako ngoja niufanyie kazi....
  20. Chrix_Tz

    Kwa mil.6 napata gari gani nzuri?

    Tatizo kuwapata hao watu ndio shida mkuu....
Back
Top Bottom