Search results

  1. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Asante sana.. Na kuhusu matangazo nimerekebisha. Kwa sasa hamna pop up tena.. Asanteni kwa ushauri
  2. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Hata mi sipendi kiwepo.. Ila no way.. Ili app isurvive kwa sasa lazima kibaki.m na uzuri linaonekana one time
  3. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Leta hoja kistaarabu.. Ningekuwa mjibga nisingefikisha 60000 users
  4. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Yah.. Ila sasa ilo unalokataa ndo linaperform kuliko yeyote yale ndo maana nagoma mkuu
  5. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Wenzetu wanakuwa na sponsorship tokea mwanzoni
  6. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Mi sijawa stable kifinancial.. Labda nikiwa stable ndo nitawaza kutoa.. Kwa sasa siwezi fanyia loss
  7. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Hakuna kinachoweza ishi bila matangazo.. Na youtube wanakatisha nao
  8. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Ni kweri mkuu.. Ila na sisi kila inapotumia kuna pesa tunakatwa.. So kuweka Tangazo muhimu.. Hata tv wanakatisha taarifa ya habari kuweka tangazo
  9. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Wakuu hii kitu nishakimaliza. Nina members 60 elfu sasa. Ina kila kitu sasa na inaeleweka kwa kila mtu. Install kwa link hii Habari,Video,Mziki App
  10. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Ishaisha wakuu.. Asanteni sana.. Unaweza download mpya tokea hapa Bongogram App
  11. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Mkuu sio insta.. sema hiyo title nimeshindwa kuochange.. mwanzoni ndo ilikuwa na functionality kama za insta.. ila sasa imetofautishwa... demand naamini ipo unaweza kuchech.. kwa sasa ni ya kiprofessional na kibiashara zaidi kwa functionality zake..
  12. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Mkuu unaweza kutoka.. ila swala la usalama liko njema kabisa.. hii ni kampuni kwa sasa kama nyingine.. so maswala ya kiusalama hatutofautiani na makampuni mengine.. serikali ikitaka data haiwezi kuzichukua kirahisi bila idhini yetu mteja au mahakama.. hii ni kampuni kabisa.. tembelea...
  13. felijose

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Asante sana mkuu.. nitajitahidi mkuj
Back
Top Bottom