Search results

  1. Midimay

    Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

    Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa...
  2. Midimay

    Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  3. Midimay

    Tetesi: Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba na Ikungi

    Habari za mchana wana JF. Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo ipo katika Mkoa wa Singida. Ni karibu pia na Mpaka na Wilaya ya Hanang katika mkoa wa Manyara. Hali...
  4. Midimay

    Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

    Habari za asubuhi wana JF, Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na zinaufanya ukose sifa. Wao wanasema ni makubaliano tu, lakini makubaliano ni mkataba. Baadhi ya facts...
  5. Midimay

    Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)? 2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
  6. Midimay

    Je, Elimu ya Msingi na Sekondari zimeondolewa TAMISEMI?

    Habari za jioni wana JF? Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture). Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Dr. Franklin Rwezimula kwenda WEST(wizara ya elimu, sayansi na teknolojia) kushughulikia elimu ya...
  7. Midimay

    Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  8. Midimay

    Ufisadi, Rushwa na Upigaji unaotokea katika Halmashauri zetu hauwakeri wengine?

    Habari za mchana kwa kila mmoja! Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano: 1. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la DSM alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema...
  9. Midimay

    Sheria ya mapori tengefu (game controlled areas) imekaa kikoloni, imekaa kinyanyasaji; kama nchi tusiitumie

    Habari za jioni wana JF wenzangu. Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa maana nyingine ni Bunge Maalum kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mwaka wa...
  10. Midimay

    Ghana wamefikia default; IMF wamesema watawadhamini. Je, tupo salama kiuchumi huko tuendako?

    Habari za jioni wakuu. Miaka miwili nyuma, Ghana ilikuwa nchi ya mfano katika ukuaji wa uchumi barani Afrika. Bin Vuu, 2022 Ghana ipo katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Ghana inaelekea kwenye default. Ghana ipo katika njia ya Sri Lanka. Inaelekea kushindwa kulipa madeni yake inayodaiwa katika...
  11. Midimay

    Salome Makamba umejiweka uchi suala la Loliondo

    Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha. Sendeka alichangia kuhusu mapori tengefu na mapori ya akiba lakini yeye akajaribu kumkosoa Sendeka au kumshambulia kwa kutumia mgogoro wa...
  12. Midimay

    Mapepo Mabaya dhidi ya Wamaasai ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii Yakamewe

    Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
  13. Midimay

    Kwanini UTUMISHI inaendelea kuwapa mikataba Watumishi wanaostaafu?

    Habari za mchana wakuu. Kama swali lilivyouliza; Tetesi na pengine uhakika ni kwamba UTUMISHI wameendelea kuwa na tabia ya kukubali lobying kwa watumishi wanaogopa kustaafu, kuwaongezea mikataba baada kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima(kwa mujibu wa sheria na kanuni mbali mbali) yaani miaka...
  14. Midimay

    Kamati Kuu ya CCM(CC) ikutane kujadili swala la Ndugai

    Habari za asubuhi kwa mtakaosoma. Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai. Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
  15. Midimay

    Tatizo la Nchi Hii ni CCM

    CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi. Wabunge wetu wataendelea kuwa waoga wa kuisimamia serikali ndani ya Bunge la JMT na nje ya Bunge. Kwa CCM wengi, wanachama...
  16. Midimay

    IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

    Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
  17. Midimay

    Sabaya Naye Aachiwe(Asamehewe)

    Habari za Mchana. Mimi pia naona makosa mengi ya Sabaya ni ya #kisiasa japo mashitaka ni ya #kisheria. Makosa haya ya kisiasa yanasameheka. Sabaya hatakuwa wa kwanza kusamehewa na mama kwa kumshauri DPP kumfutia makosa yote yanayomkabili na kushawishi ashinde rufaa kwa kesi ambayo tayari...
  18. Midimay

    Ushauri: Walimu wapitishwe Sekretarieti ya Ajira kama kada zingine

    Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya. Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
  19. Midimay

    Bora kifo cha wengi kuliko chetu peke yetu

    Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote. Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories). Hali hii imechajishwa sana na ushindani wa Marekani na China juu ya kuwa Mwenye Nguvu wa dunia(Global Power)...
  20. Midimay

    CorelDRAW inashindwa kufanya kazi baada ya installation

    Wakuu habari za leo. Nimeweza kupata mahali CorelDRAW Graphics Suite 2020 v22.2.0.532 na CorelDRAW Technical Suite 2020 v22.1.0.517. Installation inakubali kabisa kwa kutumia serial keys nilizopata kwa kila moja. Shida inakuja kwenye kufunguka sasa ili nitumie kufanya kazi. nikifungua...
Back
Top Bottom