Search results

  1. Midimay

    Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

    Hata mashambuzi mazito yanayofanywa na Hezbollah na Houthis, kuna mkono wa Iran. HEZBOLLAH walimpiga Muisrael hadi akaomba cease fire mwenyewe. Houthis ameshindikana. Nguvu za Iran siyo za kudharau hata kidogo. Ya juzi alimfanyia tu mchezo wa kitoto. Na amini kuna siku watafanya ambush ya...
  2. Midimay

    Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

    Iran imefanya mashambulizi kibao katika kambi za Wanajeshi wa Marekani, kituo cha Mosad pale Iraq, US base pale Jordan na yote yalileta madhara ya kutisha. Hii ya juzi ni kama waliamua kuonyesha wanaweza kurusha drones kutoka Tehran hadi Tel Aviv.
  3. Midimay

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Mtakuja kutuambia. Hii Secretariat ya Nchimbi ni mbovu kuwahi kutokea. Ni zaidi ya ile ya Wilson Mkama. Picha linaanza wanafanya kazi na kutoa hotuba kama vile ni watumishi wa umma(civil servants). Wamegeuka wasemaji wa maafisa masuhuli na Mawaziri katika maeneo tofauti tofauti. Nadhani hili...
  4. Midimay

    Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Nalichukulia serious kwa sababu taarifa na umbeya huu umeletwa na member senior maarufu kama popoma.
  5. Midimay

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Tunaelekea mwaka wa 10 mkimtukana Makonda. Since 2015 Makonda anatukanwa lkn yeye anapanda ngazi na kuendelea kupiga kazi.
  6. Midimay

    Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆
  7. Midimay

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Ni wapi umewahi kumuona huyo unayemsema amesimama kutoa comments juu ya vitu vinavyoendelea ndani ya serikali?
  8. Midimay

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Siasa inatakiwa kuwa hivyo. Inaonekana kuna watu mnapenda siasa za kinyonge sana.
  9. Midimay

    Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

    Kulihitajika mabadiliko madogo ya katiba kabla ya mabadiliko ya sheria. Hakuna faida ya kutoheshimisha katiba. Katiba ipewe Hadji yake ya kuwa supreme over anything ndani ya nchi. Katiba iogopwe. Katiba haiwezi kujitetea. Inatakiwa itetewe. Katiba itajitetea kwa nchi kuharibika na kila mtu...
  10. Midimay

    Makonda sio wa kumpatia Mic, kuharibu ni dakika

    Unadhani amebahatisha? Sio ukiona alisema kabisa hilo ni lake?
  11. Midimay

    Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

    Na wewe andaa kumbukizi ya John Mwakangale, huwezi unaweza ukapata wageni wa kitaifa.
  12. Midimay

    Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

    Mwaka huu ni Miaka 40. Kila mwaka hufanyika lakini kwa uchache. Ngazi ya familia, marafiki na baadhi ya viongozi wa chama na serikali ngazi za mkoa, wilaya, kata na kijiji. Uzito wa mwaka huu ni muda.
  13. Midimay

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    Halmashauri tayari zipo. Wilaya zipo. Unaweza kuanzisha halmashauri bila kuanzisha mkoa mpya.
  14. Midimay

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    Kuna faida gani ya kuanzisha mkoa? Badala ya kuanzisha halmashauri na kata, wanataka mkoa? RC na timu yake watakuja kuwasaidia nini? Ni nini wananchi hufuata mkoani?
  15. Midimay

    Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Weusi waliopelekwa katika Asia waliishia wapi kwa sababu hawapo hadi sasa. Lakini tunawaona we us I waliopelekwa Ulaya na Marekani, mabaki yao yapo. Wazungu wanapenda rasilimali(mali) lkn wana kuwa na ubinadamu. Hadi sasa katika utumwa mambo leo, ukifanya kazi shirika la mzungu, utalipwa vizuri...
  16. Midimay

    Aliyeweza kuimudu Tanzania ni Hayati Magufuli tu? Mbona tunakwama sana?

    CCM wameshindwa kuingoza nchi. Wanashindwaje kuendesha mradi mdogo kama huu wa Mwendokasi?
  17. Midimay

    Kumbukizi: Watanzania Waliosimamia kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi

    Labda walikuwepo lakini ni wataalam juniors waliokuwa wakiwasaidia hao seniors. Unadhani hao mawaziri hawakuwa na wasaidizi? Waziri wa Ardhi hakwenda na wasaidizi? Waziri wa mambo ya nje hakwenda na wasaidizi? Inabidi ujifunze Itifaki wa serikali. Wanaotokea kwenye picha muhimu mara nyingi ni...
  18. Midimay

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Rais yupo juu ya vyote kwa sababu: 1. Ni Mkuu wa Nchi 2. Amiri Jeshi Mkuu Vyeo hivyo hupata baada ya mchakato wa uchaguzi unaoakisi kukiri kwa Watanzania watu wazima kuongozwa na mtu huyo. Rais ni cheo ambacho Katiba iliyo kimya(Katiba fiche) na sheria zake hukutana na Katiba hii ya wazi na...
Back
Top Bottom