Search results

  1. Tibalius

    Njoo nikupatie huduma ya Unlimited WiFi udownload Files utakazo kwa muda mfupi

    Ingekuwa elf 5 par day ningekuwa mteja wako walau siku mojamoja
  2. Tibalius

    Dizasta Vina anapojaribu kucheza kama Diego Maradona

    Nimeshindwa kupata link
  3. Tibalius

    Msaada tutani wadau wa samsung phones

    Kama ni virus mbona simu zingine azifanyi ivyo kuingiza mimafile bila ruhusa yangu
  4. Tibalius

    Msaada tutani wadau wa samsung phones

    Jaman msaada please Natumia simu ya Samsung Galaxy A12 Sasa nikichomeka USB kwenye kompyuta kuamishia nyimbo nilizo download toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta ... kuna mafile yanaingia yenyew kwenye simu hasa ya muzik alaf na picha zile za wallpaper za kompyuta zinaingia nazo kwenye simu...
  5. Tibalius

    Msaada: Simu yangu inaletea notification nikiiweka kwenye charge

    Jaman msaada please Natumia simu ya Samsung Galaxy A12. Sasa nikichomeka USB kwenye kompyuta kuamishia nyimbo nilizo download toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta. kuna mafile yanaingia yenyew kwenye simu hasa ya muzik alaf na picha zile za wallpaper za kompyuta zinaingia nazo kwenye simu iv...
  6. Tibalius

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Tunahitaji huduma ya mabando mmseme mrahisisha upatikan wa mabando 10GB kwa elf 5
  7. Tibalius

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kama unaniunga kifurush kwanza ndipo nikutumie pesa sawa namba nipe namba yako tuwasiliane
  8. Tibalius

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Nataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
  9. Tibalius

    #COVID19 Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    Mm nataka waimbe wanafunzi wangu shulen vp inaruhisiwa mana utenz huu ni elimu kwetu
  10. Tibalius

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Mm nimenunua xiaom redmi 9C kwa 340000 box lake hakuna ata earphone camera ya nyuma ndo majanga zaid picha mbovu balaa
  11. Tibalius

    Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

    kwahy kifurush cha elf 8 utakuwa umelipia chanel zip azam wameanza kutuchanganya saiv
  12. Tibalius

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    kwanza sikushaur pikipik za mataili ya spoko mana utakuwa unaweka tyubu ndan itakubid utembee na pamp kwaajil ya miiba ikitoboa taili pia nivizur uchukue pikipik ya stater kwa sababu ya tope kupiga makiki pikipik ikizima kwa maji utachoka wenyewe. so kwa upande wang nakushaur boxer zile...
  13. Tibalius

    Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    hizo signal unakuja kuniongezea nyumban au remontly mm nimewapigia azam awapokei nimechat nao whatsapp wameniambia nibadilile transponder iwe10981 kwa set nomal setting chaajab nimemuita fund katafuta signal ya izo kuzunguka nyumba yote akuna signal ikabid alirudishe lilivyokuwa 11044 izo...
  14. Tibalius

    NAOMBA MAUJANJA YA TV STAR X

    uscan bila kuweka kadi mana naliona tundu pale
  15. Tibalius

    Azam TV vipi tena?

    saivi mm nimeachana nayo hata kulipia sita lipia sababu chanel za kulipia ndo wazifuta kwangu wameacha zile ambazo uwaga za bule
  16. Tibalius

    Azam TV vipi tena?

    hii nimeifanya mpaka ku restore kuinstall chanel upya.. imegoma chaajab jiran yangu znaonekana nikipeleka resever yangu install chanel upya znakuja ila nkienda kwang azioneshi sijajua tatizo nn nilifikiri dish lang limecheza ikabid niangalie intensity zpo 98 na quality 48 azionesh...
  17. Tibalius

    Mtandao upi una vifurushi nafuu Tanzania

    halotel gb3 kwa elf3
  18. Tibalius

    Tofauti kati ya jinamizi na ganzi ya ndoto (SLEEP PARALYSIS)

    aise ata mm nimuhanga ila kwa tofaut izo kumbe mm linalonisumbua ni jinamiz umesema nichome chumvi ya mawe utatarisha kisha mvunge ilo neno mvunge sijaelewa naomba unieleweshw zaid mkuu
Back
Top Bottom