Search results

  1. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tumevurugwa ya west ham si umeona qm hao
  2. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani tu flex au tu one cut bila huooo unaambulia u **** tu
  3. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani kuna **** kama Athens zimevimbiana
  4. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawqjapoteza wamelipa, kwani wakipata faida huwa wanasema wamepata bilioni ngapi
  5. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Newcastle Ubwa kana Ubwa nyingine
  6. sabuwanka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fiorentina natafuta tusi la kutukana sijalipata....mikeka 19 imekubali kasoro Falantina....Falantina Falantina kanitia umaskini
  7. sabuwanka

    Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete: Kunyweni angalau bia tatu tu kwa siku

    Asilimia kubwa ya wanaolazwa hospitali ni wagonjwa wa moyo na shinikizo la damu,” amesema Dk Kisenge ameshauri jamii kuzingatia kula lishe bora hasa mboga za majani na matunda, kupunguza vyakula vya wanga na sukari. "Unywaji bia, angalau mnywaji anywe bia tatu kwa siku,” amesema Mkurugenzi...
  8. sabuwanka

    Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Baraza la Tiba Asili na Tiba mbadala limepiga marufuku uingizaji, usambazaji, uuzaji na utumiaji wa kinywaji cha kuongeza nguvu kiitwacho AKAYABAGU baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa kinywaji hicho hakijawahi kusajiliwa na Baraza hilo Nchini. Taarifa ya Baraza hilo imesema pia...
  9. sabuwanka

    Ex kakutwa ni HIV Positive je PEP itamuokoa?

    Yaani hii nchi sijui chadema wanaionaje yaani, tutafika tumekufa kwa PEP.....
  10. sabuwanka

    Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    Asante kuanzisha mada, asante mchangiaji sir midabwada
  11. sabuwanka

    Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Ubarikiwe controla
  12. sabuwanka

    Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Nipo seat ya mbele kwa dereva
  13. sabuwanka

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Wikendi naisukuma
  14. sabuwanka

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Du nakutakia kazi njema
  15. sabuwanka

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Hahaha pole sana
  16. sabuwanka

    Kiwango cha mshahara wa wakuu wa idara

    Afisa taaluma na takwimu sio wakuu wa idara, ni wakuu wa vitengo hawana LSSE
  17. sabuwanka

    Naombeni mnijuze kuhusu TALA FOUNDATION kabla sijajilipua

    Ushauri wa bure chukua, kimbia usigeuke nyuma wata ku TALA
Back
Top Bottom