Search results

  1. I

    Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    Watu wanasema Mbowe kafanikiwa kuwakutanisha Lowasa na Sumaye. Magufuli kafanikiwa kuwakutanisha Wema na Diamonds
  2. I

    Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    Nasikia leo kwenye ufunguzi wa kampeni jangwani, kuna watu wametoka mtwara na rufiji wameletwa na EICHER za kukodi?
  3. I

    Observational study: CCM kubeba ubunge Karatu

    Wanasema tusidharau taarifa, lakini jamani hata kama imetolewa na JINGALAO?
  4. I

    Slaa kuibuka Jangwani 90%, Kupanda jukwaa moja na Magufuli kummaliza Lowassa

    .Tusidharau taarifa hata kama imetolewa na mwendawazimu
  5. I

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

    Ndio ninao majirani tena wengi. So what?
  6. I

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

    Jf Salaam. Jamani naomba kuuliza hivi muda wa kampeni kwa mujibu wa NEC umeishaanza? Leo nimeona diamond jubilee ni kampeni mwanzo mwisho. Hashimu Rungwe nae naona anafanya kampeni ITV kwa hivi sasa. Jamani kulikoni?
  7. I

    Kama wamekosa Mikate Waambie wale Keki-UJUMBE KWA WANYWA VIROBA

    Makubwa, ila inategemea kasema hivyo akilenga nini. Na kusema ukweli kiroba kinanyweka sana hapa mjini. Kumbe watu wanavinywa wakijua wanajidharirisha? Viroba ni bange iliyoyeyushwa.
  8. I

    Elections 2015 DC Paul Makonda avundua madudu ya Magufuli katika ujenzi wa barabara Kinondoni

    Je, DC akipewa hiyo ripoti ataweza kumwajibisha waziri?
  9. I

    Kama wamekosa Mikate Waambie wale Keki-UJUMBE KWA WANYWA VIROBA

    Hivi habari ya viroba kasema nani jamani? Mi sijapata hiyo thread.
  10. I

    CHADEMA Karagwe yapata pigo, Kahangwa ahamia TLP

    Imekaa vizuri maana TLP soon wanaingia UKAWA. Bado ni faraja kwa wapenda mageuzi
  11. I

    Julius Mtatiro achukua fomu ya ubunge jimbo la Segerea

    Subiri utakutana nao mtaani.
  12. I

    Tetesi: Diamond kulipwa TZS 500,000,000 na chama

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya kusikiliza nyimbo za wasanii na kufanya maamuzi sahihi? Hivi inabidi tuimbiwe nyimbo ndo tupige kura? Ole wake atakayepiga kura kutokana na kusikiliza nyimbo nzuri na sio sera nzuri
  13. I

    Kikwete aahirisha safari za Ulaya ili kumnadi Magufuli

    Hata yeye hakutaki, kama ikulu sio mahali pa wafanya biashara mbona chama kilichoikulu kinafanya biashara? Au hujui?
  14. I

    Kikwete aahirisha safari za Ulaya ili kumnadi Magufuli

    Utamkataa wewe, wengine watamchagua
  15. I

    Myahudi wa kwanza kuswalisha Waislam

    Nakubaliana na dose yako kwa huyu binti. Tatizo sijui kama atakusoma vizuri, lakini wengine tumekuelewa. Safi sana, nimeamini kuwa wewe unafahamu kuwa oil chafu imenunuliwa kuua mchwa
  16. I

    Siasa na Utajiri

    Wana Jf Habari za leo. Ni takriban siku nne zimepita tangu mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere. Katika mdahalo huo watu wengi walichangia mawazo yao hata wachokoza mada walitoa michango mizuri. Lakini tangu muda huo, mimi bado nasumbuliwa na michango iliyotolewa na hawa watu...
  17. I

    Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

    Mzee Wasira si alijiita Tyson, sasa najua Tyson wa sasa angekutana Francis Cheka angetolewa kwa Technical Knockout. Na hivi ndivyo itakavyokuwa kwa wasira. Wanasema eti ng'ombe hazeeki maini, lakini sio kwenye siasa. Uzee wa siasa uko kichwani kwa maana ya sera na utekelezaji wake. Pia kwa...
  18. I

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Mwana mpotevu, amekiri makosa na kupokelewa kundini
  19. I

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Kwa Lusinde ssem inabidi wamwonye vinginevyo kuna hatari ya kuwekewa pingamizi mahakamani
Back
Top Bottom