Search results

  1. Babuu blessed

    Kuku wa kienyeji wanapatika kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa kwa bei jumla

    Hiyo bei unaijua wew na muuzaji...ila kuku wa kienyeji wanacheza 15,000 hadi 20,000
  2. Babuu blessed

    TOYOTA ALLION for sale 5million

    Jamaa yupo tayari kutoa 4m aujaelewa nn hapo.ihii jf boss watu awapo tayari kurelease namba kiolela kama unavyodhani.wewe kama unakula 4m mpe jibu yeye ampe sister maelezo kesho mfanye bihashara
  3. Babuu blessed

    TOYOTA ALLION for sale 5million

    Saint Ivuga ukiwa jf lazima uwe mjanja sana ...nimeipenda hiyo statement
  4. Babuu blessed

    BMW X5

    Asante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mama
  5. Babuu blessed

    Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

    FaizaFoxy unahamu na dk slaa wewe hadi leo bado unamkumbuka.kweli watu wazima mkipenda mmepanda.
  6. Babuu blessed

    Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

    Wewe ndio wakuandika mwandiko uhuu badala ya kusifia utawala faiza fox aka bibi wa chama
  7. Babuu blessed

    Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

    Wewe kiazi andika BENKI KUU sio unaandika kwa herufi ndogo.....ndio maana unaitwa jinga lao kama kichwa chako kilivyo empty with no brain
  8. Babuu blessed

    Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

    Mzee Mwanakijiji acha unafiki unataka kukosoa nn hapa.
  9. Babuu blessed

    Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

    Soma habari mwenyewe usipende kutafuniwa kila kitu kama mtoto...
  10. Babuu blessed

    Bora tusiende Cameroun,kule tunaweza kuwa daraja la mataifa mengine

    Mozambique,liberia ,zambia wenyewe atuwaweza sembuse hizo timu ulizozitaja jana nimechek game zao wapo njema sana
  11. Babuu blessed

    Namaingo business agency LTD wakijadili uwekezaji

    Amefugisha watu sungura weeeeeee ..akiwaaminisha nyama ya sungura dili,mkojo wa subgura dili watu wamejenga mabanda kwa gharama kubwa na kununua sungura kwa pupa sasa hivi familia zinalazimika kula sungura kwa sababu nje soko alipo ulikuwa ni usanii..alafu ihii kauli ya kusema wanamuunga mkono...
  12. Babuu blessed

    Tutafika? Waziri Kamwelwe athibitisha watumishi wa umma kutofanya kazi kwa weledi kutokana na hofu ya kutumbuliwa

    Hofu aliyonayo waziri ilinitokea wakati ninatongoza kwa mara ya kwanza nilikuwa naogopa kupigwa kibuti mwishowe nilipigwa kibuti ..lakin nilizoea maisha yakasonga waziri usiogope kutumbuliwa ni moja ya matukio awamu ihì
  13. Babuu blessed

    Newala: Tani 9 za korosho zanaswa zikitoroshwa

    Please mod Paw toeni uhuu uchafu wanajaza server bure tu....kila mtu sasa hivi anaandika habari za korosho azina kichwa wala miguu.
  14. Babuu blessed

    Askari wawili wachomwa visu, Wakimbizwa Hospitali ya Massana

    Nyie wagen sana hapa jukwaani Pdidy yupo kabla wewe aujaanza kuijua jf.siku hizi ndio atokei mara kwa mara ,kwa ilichapisho amejitahidi sana kuandika hadi ameeleweka ...msipoteze muda kutumia akili kubwa kutaka kuelewa kila chapisho la jf wakati mwingine inaweza kuwa ni ndoto au hadithi ya Pdidy
  15. Babuu blessed

    'True caller' app nzuri but kuwa makini nayo

    Msichukulie technologia simple hivyo ......chek profile ya true caller inadetails zote mkuu ....yaan wewe unipe nick name watsap alafu ijiupdate bila ridhaa yangu ....hakuna kitu kama icho.....thread tango pori ihiiii...
  16. Babuu blessed

    'True caller' app nzuri but kuwa makini nayo

    Mimi ninaelewa details zinazochukuliwa ni zamuhusika mwenyewe jinsi alivyo ji register katika database ya true caller...ila sio kila phone book ya mtu inavyosoma....wewe ulijaza detail gan katika sever ya true caller ila sio mtu alivyokusave katika simu yake....inamana mimi nikusave j alafu kwa...
  17. Babuu blessed

    Huu utaratibu mpya nimeupenda sana na nawashauri na wengine wenye Ndugu zao Mahabusu au Gerezani nao waombe kuonana Mkemia

    Na kweli sio lazima kufungua kila thead za jf ....jamaaa anasoma kila comment na anataka kuielewa
  18. Babuu blessed

    Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!

    Kweli mkuu mimi nina hilux 12r nilitaka kuiuza ninunue pick up ya 2000 lakin nimepiga mahesabu iliniweze kuifikisha bongo single cabin hilux lazima niwe na zaidi ya 18m ilinipate gari mzuri kodi ni zaidi ya 9m...gari zenyewe bei imechangamka kweli huko japan
Back
Top Bottom