Search results

  1. Nyanda lunduma

    Tatizo la kujing'ata ulimi ukiwa usingizini na dawa yake

    Habari ndg zangu. Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo. Naombeni msaada wenu
  2. Nyanda lunduma

    Nina tatizo la macho kuwasha

    Wakuu mimi nina tatizo la macho kuwasha kila ifikapo jioni macho yangu huwa yanawasha sana hadi kupelekea kuyakuna mpaka yanakuwa mekundu. Naombeni msaada.
  3. Nyanda lunduma

    Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

    Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka...
  4. Nyanda lunduma

    Zao la vitunguu mkoani ni bei gani?

    HABARI WANA JF Kama mada ilivyo hapo juu, nifahamisheni nijue mkoa ulipo Bei ya ngunia moja la vitunguu linauzwaje huko mkoani. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nyanda lunduma

    Nina tatizo la macho kuwasha kila ifikapo usiku

    Habar wana jf, Niende moja kwa moja kwenye maada yangu hapo juu , hilo tatizo la macho kila mara ifikapo usiku macho yangu huwasha sana na kusababisha nijikune na kupelekea mpaka kuwa mekundu, nimeenda Hospital na dawa kushauri vizuri dawa za kutumia ila mpaka sasa bado inasumbua. Nimekuja...
  6. Nyanda lunduma

    Nitumie dawa gani macho yangu kila siku jioni yanawasha sana (najikuna mpaka yanakuwa mekundu)

    Habari wa jf, Kama mada ilivyo hapo juu mimi kila ikifika jioni macho yangu huwa yanawasha sana yani najikuna sana mpaka macho yanakuwa mekundu, naombe msaada wenu nimetumia sana dawa mpaka Hospitali nimefika wakaniambia huenda nina aleji na kitu furani kila dawa wanayonipa haifanyi kazi...
  7. Nyanda lunduma

    Wale wote wanaotumia bidhaa kampuni ya INFINIX Hot 8 tukutane hapa tupeane ujanja

    Natumai ni wazima was afya, Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni INFINIX tukutane tupeane utundu, ujanja wa Yale yaliyomo ndani ya simu hizi, binafsi natumia INFINIX HOT8 simu ipo vizuri sana. KARIBUNI SANA. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nyanda lunduma

    Msaada ni application ipi nzuri ya kuhaidi(hide) meseji za kawaida

    Habari zenu wakuu, naombeni msaada wa apps yeyote ya kuhide meseji za kwa kawaida, ili kulinda ndoa zetu .
  9. Nyanda lunduma

    CAMERA INA TATIZO

    Habari ndugu zangu , naombeni msaada simu yangu CAMERA yake haipigi hata torch yake haifanyi kazi sijajuwa ina tatizo gani , naombeni msaa wenu.
  10. Nyanda lunduma

    KUTOKWA NA DAMU PUANI.

    Kwema ndugu zangu wana jf. Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu, nina tatizo la kutokwa na damu puani mpaka sasa limechukua takribani mwezi mmoja nimejaribu kutumia dawa za dukani lakini tatizo bado linanisumbua naombeni msaada wenu ndugu zang kwa msaada wenu zaid asanteni sana.
  11. Nyanda lunduma

    Kutokwa maziwa kipindi cha ujauzito husababishwa na nini?

    Habari za Leo wana JF. Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu,Nina mpenzi wangu ambaye ana ujauzito wa miezi mitano kwa sasa , ila usiku akilala Maziwa huwa yanatoka wakati mwingine hata akiwa amekaa huwa yanatoka. Naombeni mnieleweshe nini tatizo lake na nifanye nini niweze kumsaidia...
  12. Nyanda lunduma

    Nina wasiwasi huyu mtoto sio wa kwangu maana mimba imedumu kwa muda mfupi tangu anipe taarifa

    Habari za jioni wana JF. Niende moja kwa moja kwenye habari apo juu,nakumbuka mwezi wa saba 2017 nilipata nafasi ya kwenda CHUO CHA VETA Babati ,Manyara. Hapo chuoni niliazisha mahusiano na mwanamke ambaye tulikuwa tunasoma wote VETA . Mara ya kwanza kwenye mahusiano demu alinizingua...
  13. Nyanda lunduma

    Msaada wa settings kwenye WhatsApp

    Naombeni msaada kwenye wasapu nawezaje kuweka apps yeyote kwenye wasapu yangu ili kwa mtu aliyetuma meseji kwangu isionyeshe Kama nishaifungua meseji yake (yani isionye zile tick mbili za rangi ya blue) msaada kwenu.
  14. Nyanda lunduma

    Tatizo la mwanamke kiuno kuuma baada ya kusex

    Habari ndugu zangu, Ni siku nyingi sasa mke wangu kila tukifanya tendo la ndoa baada ya kumaliza kiuno chake huwa kinauma. Ni tatizo gani na nini solution ambayo inaweza kumsaidia aweze kuondokana na tatizo hilo. Nawasilisha wana JF msaada kwenu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Nyanda lunduma

    Nifahamisheni siku zenye uwezekano wa mwanamke kupata mimba

    Habari ndg zangu wana JF, Kama habari hapo juu kinavyojieleza hapo napenda kujua siku ambazo kuna uwezekano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba. Mfano:Ukifanya mapenzi na mwanamke siku mbili au moja kabla ya siku zake kuanza (Hedhi) ukafanya naye mapenzi siku ya 26 au 27 mwenye mzunguko wa siku...
  16. Nyanda lunduma

    Inauma sana kwa wanawake wenye roho kama hizi

    Habari za kazi ndugu, Niende moja kwa moja kwenye maana husika tupo kimahusiano na mwanamke ambaye tulipanga kuja kuona baadae. Mimi nipo Singida na yeye yupo Kahama, huwa tunatembeleana sasa 21/06/2017 alipata muda wa kunitembelea na kalenda ya siku ya mzunguko wake naijua ni siku 28 nilijua...
  17. Nyanda lunduma

    Ni kweli ujauzito unaweza kuonekana kwenye kipimo siku 6 baada ya kuingia?

    Habari za asubuhi wanaJF, Nimekaa ktk mahusiano na mwanamke fulani mpaka sasa tuna miezi mitatu ila tangu tuanze mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kondomu kusex. Siku moja mwenzangu tukiwa tunasex alinivua kondomu na akasema tufanye bila kondomu. Nilikataa nikamwambia mpaka tupime. Baada ya...
  18. Nyanda lunduma

    Kutokwa damu kwenye meno.

    Habari za jioni ndugu zangu wana JF.yapata miezi miwili mpaka sasa nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu kwenye meno hili tatizo linanipata kila siku ukiamka tu asubuhi ukitema mate inatoka damu kwenye meno,pia hata ukiwa unapiga mswaki asubuhi damu inanitoka kwenye meno Nawaombeni sana...
  19. Nyanda lunduma

    MKE MWEMA NI YUPI

    1. Anayejali watu wa nyumbani mwake, hutunza siri siyo kutapanya nje maneno ya ndani na kila mtu anajua, huomba ushauri kwa wazee na si kwa vijana ambao wao siku zote hufikiri kuharibu 2. Humpa heshima zote mme wake, na haigi mabaya kutoka kwa wanawake wengine 3. Humzalia mmewe watoto, siyo...
  20. Nyanda lunduma

    Nimemuambia mpenzi wangu tufunge ndoa ananiambia tusubiri miaka miwili, umri umesogea

    Nimekaa na mahusiano na mpenzi wangu mpaka sasa ni miezi mitano Ila nimejaribu kumwambia muda wetu wa kukaa pamoja Mimi na yeye Tufunge ndoa yetu ila majibu ambayo amenipa nisubiri baada ya miaka miwili mbele nikiangalia hata umri wetu nao unaenda Sijui kama huyu mwanamke yupo pamoja na Mimi...
Back
Top Bottom